Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,248
- 18,435
Na ubwabwa wenyewe umeisha, sasa hivi wanagombania ukokoMstari wa mwisho "aulizwe kwenye ubwabwa" anafanya nini

Naangiza Akabidhiwe Kadi harakaHuyu ana mpango wa kurudi Nini?
Ukoko hauna maharage 😆😆😆Na ubwabwa wenyewe umeisha, sasa hivi wanagombania ukoko
Lugha za kurudia hizo.Huyu ana mpango wa kurudi Nini?
Baada ya kuporwa demu na salumKada wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Henry Kilewo, amewataka wanaojiita watawala kuachana na madalali wa kisiasa wanaowadanganya kuwa wanaweza kukigawa chama hicho.
Kupitia chapisho aliloliweka katika mtandao wake wa X (zamani Twitter) juzi Agosti 31, 2026, Kilewo amebainisha kuwa mfumo na uongozi wa sasa wa CHADEMA ni tofauti na ule wa zamani, kwani umerithi uzoefu wa nyuma na kujifunza kutokana na makosa yaliyopita ili kuepuka gharama kubwa za kisiasa
“Version ya CHADEMA ya leo sio ile iliyopita, hii imekulia kwenye ile version na ikaona makosa yake na haiwezi kuishi yale makosa kwakuwa inajua makosa yale yatawagharimu kuliko gharama wanazolipa leo,” ameeleza Kilewo.
Amesisitiza kuwa CHADEMA ni taasisi imara mno ambayo haiwezi kugawanywa hata kwa kutumia medali za juu za kivita, huku akiongeza kuwa njia iliyochaguliwa na chama hicho ndiyo sahihi katika kuondoa utawala kandamizi.
Kilewo amehitimisha kwa kutoa rai ya kimaadili akisema ni heri kuishi miaka michache duniani kwa wema na haki kuliko kuishi miaka mingi kwa uongo na unafiki ambao mwisho wake ni mbaya zaidi.
Mchukueni huko chadema, huyu kashazoea kulelewa na wanawake, toka Joyce Karia amuache, akili haiko sawaBaada ya kuporwa demu na salum
Sawa Inspectah Deck 😂🤣😂Juzi nimetoka kuongea hili ..... CHADEMA ya safari hii ni Ile ya akina WU -TANG CLAN hapa kilakitu tunafanya wenyewe Tu hatuhitaji featuring wala chorus Sisi kazi yetu ni kuchana mistari Tu mwanzomwisho
Ana katoto kachangaJoyce kiria mamboro
Hawa jamaa nao ni noma akina prodigy na havoc ni wagumu Sana hasa havocSawa Inspectah Deck 😂🤣😂
Mimi naona combination ya Lissu na Heche ni ile Mobb Deep ya The Infamous na Hell on Earth 🤣😂🤣
Hawa ndio Wapare ninaowafahamu. men from Kilimanjaro, the roof of AfricaKada wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Henry Kilewo, amewataka wanaojiita watawala kuachana na madalali wa kisiasa wanaowadanganya kuwa wanaweza kukigawa chama hicho.
Kupitia chapisho aliloliweka katika mtandao wake wa X (zamani Twitter) juzi Agosti 31, 2026, Kilewo amebainisha kuwa mfumo na uongozi wa sasa wa CHADEMA ni tofauti na ule wa zamani, kwani umerithi uzoefu wa nyuma na kujifunza kutokana na makosa yaliyopita ili kuepuka gharama kubwa za kisiasa
“Version ya CHADEMA ya leo sio ile iliyopita, hii imekulia kwenye ile version na ikaona makosa yake na haiwezi kuishi yale makosa kwakuwa inajua makosa yale yatawagharimu kuliko gharama wanazolipa leo,” ameeleza Kilewo.
Amesisitiza kuwa CHADEMA ni taasisi imara mno ambayo haiwezi kugawanywa hata kwa kutumia medali za juu za kivita, huku akiongeza kuwa njia iliyochaguliwa na chama hicho ndiyo sahihi katika kuondoa utawala kandamizi.
Kilewo amehitimisha kwa kutoa rai ya kimaadili akisema ni heri kuishi miaka michache duniani kwa wema na haki kuliko kuishi miaka mingi kwa uongo na unafiki ambao mwisho wake ni mbaya zaidi.
Wamewakatia mrija....mrija wa fweza umekatwa! Toka kwa CCMKada wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Henry Kilewo, amewataka wanaojiita watawala kuachana na madalali wa kisiasa wanaowadanganya kuwa wanaweza kukigawa chama hicho.
Kupitia chapisho aliloliweka katika mtandao wake wa X (zamani Twitter) juzi Agosti 31, 2026, Kilewo amebainisha kuwa mfumo na uongozi wa sasa wa CHADEMA ni tofauti na ule wa zamani, kwani umerithi uzoefu wa nyuma na kujifunza kutokana na makosa yaliyopita ili kuepuka gharama kubwa za kisiasa
“Version ya CHADEMA ya leo sio ile iliyopita, hii imekulia kwenye ile version na ikaona makosa yake na haiwezi kuishi yale makosa kwakuwa inajua makosa yale yatawagharimu kuliko gharama wanazolipa leo,” ameeleza Kilewo.
Amesisitiza kuwa CHADEMA ni taasisi imara mno ambayo haiwezi kugawanywa hata kwa kutumia medali za juu za kivita, huku akiongeza kuwa njia iliyochaguliwa na chama hicho ndiyo sahihi katika kuondoa utawala kandamizi.
Kilewo amehitimisha kwa kutoa rai ya kimaadili akisema ni heri kuishi miaka michache duniani kwa wema na haki kuliko kuishi miaka mingi kwa uongo na unafiki ambao mwisho wake ni mbaya zaidi.
Hahahahaha anavyojipost nae sasaAna katoto kachanga
Lini nyumbu amekuwa na akili? Hayo ni mazuzu tu, chama hakina hata diwani wala mwenyekiti moja wa kitongoji bado hawaoni hata aibu, wamebaki humu JF wakijidanganya. Hakuna chama pale ni kundi la nyumbu km wafuasi wa Joseph Kibwetere wa Uganda. Wana roho ngumu km wendawazimu!Kada wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Henry Kilewo, amewataka wanaojiita watawala kuachana na madalali wa kisiasa wanaowadanganya kuwa wanaweza kukigawa chama hicho.