Henry Kilewo: CHADEMA ya sasa sio ile iliyopita, hii achaneni nayo

Akili zimeanza kurudi enhee??... ungama, fuata taratibu na urudi kundini, ila ndio utakuwa mwanachama wa kawaida kwa kipindi kisichopungua miaka kumi(10)..kipindi cha matazamio
 
Inanikumbusha Kuna dogo mmoja tangu namjua 2005 alikuwa chadema kindakindaki sana ila 2019 akahamia ccm na 2020 akagombea udiwani akashinda huko kwao nachingwea.....sasa Kila tukikutana stori zetu ni siasa tu na huwa ananipigia simu yaani aisee kweli asili hauwezi kuificha yaani Kuna muda huwa anajisahau kama yeye ni ccm kwasasa
 
Baada ya kuporwa demu na salum
 
Juzi nimetoka kuongea hili ..... CHADEMA ya safari hii ni Ile ya akina WU -TANG CLAN hapa kilakitu tunafanya wenyewe Tu hatuhitaji featuring wala chorus Sisi kazi yetu ni kuchana mistari Tu mwanzomwisho
Sawa Inspectah Deck 😂🤣😂

Mimi naona combination ya Lissu na Heche ni ile Mobb Deep ya The Infamous na Hell on Earth 🤣😂🤣
 
Sawa Inspectah Deck 😂🤣😂

Mimi naona combination ya Lissu na Heche ni ile Mobb Deep ya The Infamous na Hell on Earth 🤣😂🤣
Hawa jamaa nao ni noma akina prodigy na havoc ni wagumu Sana hasa havoc
 
Hawa ndio Wapare ninaowafahamu. men from Kilimanjaro, the roof of Africa
 
Wamewakatia mrija....mrija wa fweza umekatwa! Toka kwa CCM

Kaona kama mbwai na iwe mwai tu!
 
Ukweli hushinda Daima, hata kama unaumiza kiasi gani.
 
Lini nyumbu amekuwa na akili? Hayo ni mazuzu tu, chama hakina hata diwani wala mwenyekiti moja wa kitongoji bado hawaoni hata aibu, wamebaki humu JF wakijidanganya. Hakuna chama pale ni kundi la nyumbu km wafuasi wa Joseph Kibwetere wa Uganda. Wana roho ngumu km wendawazimu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…