GLOBAL CITIZEN
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 767
- 1,657
Greetings everybody!
Naomba nianze kwa kukuuliza?
Are you struggling to get your first client on UpWork au Online freelancing platform nyingine yoyote?
Kama jibu ni ndiyo basi leo nipo hapa kukuonyesha jinsi unavyoweza kupata kazi yako ya kwanza.
Kwa wale wasiofahamu Online Freelancing ni namna yakufanya kazi mtandaoni na wewe kulipwa pesa.
Kazi hizi zinaweza kuwa Translation, data entry, graphic design, ghost writing, vitual assistant, voice over na nyingine nyingi sana.
Binafsi mimi nafanya kazi kama Translator lakini pia kama digital marketer katika site ya UpWork.
Kipindi fulani cha nyumba nilikuwa nafanya kazi (small gigs) kwenye site ya fiverr kuwatengenezea wateja YouTube thumbnails.
Leo nataka nijikite zaidi katika site ya UpWork kwasababu UpWork ipo tofauti kidogo na Fiverr.
UpWork yenyewe clients wana post aina ya kazi wanayotaka kufanyiwa na wewe freelancer unatakiwa kutuma proposal ili upate hiyo kazi.
Kwa mfano leo asubuhi client toka Singapore amenituma ujumbe akitaka kufahamu kama nitaweza kumsaidia kwenye project yake.
Na niseme tu I get so many messages on UpWork. But I prefer to work on big projects.
Well hii project nimeikataa.
The reason is right now I’m busy with other works that make me more money.
Nimeweka hiyo attachment ili uone kuwa inawezekana na si blah blah.
Nikwambie tu iwapo utatumia muda wako na internet bundle kujifunza vitu vya msingi you will make money all day everyday.
Ok.
Sasa twende tuone jinsi utakavyopata first client kama Online freelancer katika mtandao wa UpWork.
Are you ready?
1 • Unahitaji profile iliyoandikwa vizuri ikielezea skills ulizonazo.
Yep.
Unahitaji kuweka profile account yako katika namna ambayo client kama akisoma aone kweli you are the right choice for him or her.
Usikurupuke.
Soma profiles za watu wengine jinsi walivyoandika.
Hasahasa profiles zenye reviews nyingi.
These people they know something ndiyo maana wanaweza kupata clients kwa urahisi.
Kuwa specific skills gani unaweza kumpatia client.
Kama wewe ni Swahili native speaker na unataka kuwa translator basi elezea hivyo kwa usahihi lakini pia kuwa original.
Profile za watu wengine zitakusaidia kupata picha tu. Usiige kila kitu.
2 • Onyesha umeelewa kazi client anataka afanyiwe.
Ok.
Hapa ngoja nikwambie kitu.
Ukiwa unatuma proposal, let say uliona mtu anayehitaji kusaidiwa kufanya translation kwaajili ya project yake inabidi uwe very smart uhakikishe katika first lines umemwonyesha umeelewa anachotaka kufanyiwa.
Pia show them you are going to do the best work.
Kamwe usipoteze muda ukielezea jinsi ulivyo na experience ya miaka 10.
No one cares about that.
Client wants to know you understand his or her work and you have right skills to work on the project.
3 • Be Active on the Platform.
Vipi hiyo?
Ili clients waone kweli upo serious kama ulivyojielezea kwenye profile yako Inabidi uwe active UpWork.
Siyo akiangalia last seen anaona ni one month ago.
You need to login your account everyday so that client knows you are active.
Pia kuwa active itakusaidia kujibu messages kwa haraka.
Lazima ufahamu success loves speed.
4 • Apply for job offers as many as you can.
Yes.
Ukitaka kuongeza chances upate first job offer unahitaji ku-apply mara nyingi.
Kumbuka there hundreds of job posted every single day.
Ni kazi yako kutafuta unayoona inakufaa na kufanya application.
Kama ndiyo kwanz anaanza Online freelancing nakushauri ni vizuri kupata guidance kwa mtu mwenye uzoefu.
Utajifuza kwa haraka zaidi.
5 • Ukipata kazi yako ya kwanza ifanye vizuri ili upate good reviews.
Ok.
Sasa umeshafanikiwa kupata first job offer.
Nini kinafuata?
Piga kazi vizuri tena ndani ya muda mliokubaliana.
Hii itakusaidia kupata good review na ndiyo itakuwa mwanzo wako wakutengeneza hundreds if not thousands of dollars as days rolls on.
Kuwa serious kidogo tu and you are good.
Kupata first job offer si ngumu. Ni vile tu watu hawana right info how to do land your first offer.
Niishie hapa kwa leo.
Tukutane tena siku nyingie kwaajili ya darasa amazing kama hili.
Cheers 🥂