Here is Everything you need to Know to Get Your First Job Offer on Upawork. Jifunze Hapa

Here is Everything you need to Know to Get Your First Job Offer on Upawork. Jifunze Hapa

GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
767
Reaction score
1,657
Greetings everybody!

Naomba nianze kwa kukuuliza?

Are you struggling to get your first client on UpWork au Online freelancing platform nyingine yoyote?

Kama jibu ni ndiyo basi leo nipo hapa kukuonyesha jinsi unavyoweza kupata kazi yako ya kwanza.

Kwa wale wasiofahamu Online Freelancing ni namna yakufanya kazi mtandaoni na wewe kulipwa pesa.

Kazi hizi zinaweza kuwa Translation, data entry, graphic design, ghost writing, vitual assistant, voice over na nyingine nyingi sana.

Binafsi mimi nafanya kazi kama Translator lakini pia kama digital marketer katika site ya UpWork.

Kipindi fulani cha nyumba nilikuwa nafanya kazi (small gigs) kwenye site ya fiverr kuwatengenezea wateja YouTube thumbnails.

Leo nataka nijikite zaidi katika site ya UpWork kwasababu UpWork ipo tofauti kidogo na Fiverr.

UpWork yenyewe clients wana post aina ya kazi wanayotaka kufanyiwa na wewe freelancer unatakiwa kutuma proposal ili upate hiyo kazi.

Kwa mfano leo asubuhi client toka Singapore amenituma ujumbe akitaka kufahamu kama nitaweza kumsaidia kwenye project yake.

Na niseme tu I get so many messages on UpWork. But I prefer to work on big projects.

IMG_5964.JPG

Well hii project nimeikataa.

The reason is right now I’m busy with other works that make me more money.

Nimeweka hiyo attachment ili uone kuwa inawezekana na si blah blah.

Nikwambie tu iwapo utatumia muda wako na internet bundle kujifunza vitu vya msingi you will make money all day everyday.

Ok.

Sasa twende tuone jinsi utakavyopata first client kama Online freelancer katika mtandao wa UpWork.

Are you ready?

1 • Unahitaji profile iliyoandikwa vizuri ikielezea skills ulizonazo.

Yep.

Unahitaji kuweka profile account yako katika namna ambayo client kama akisoma aone kweli you are the right choice for him or her.

Usikurupuke.

Soma profiles za watu wengine jinsi walivyoandika.

Hasahasa profiles zenye reviews nyingi.

These people they know something ndiyo maana wanaweza kupata clients kwa urahisi.

Kuwa specific skills gani unaweza kumpatia client.

Kama wewe ni Swahili native speaker na unataka kuwa translator basi elezea hivyo kwa usahihi lakini pia kuwa original.

Profile za watu wengine zitakusaidia kupata picha tu. Usiige kila kitu.

2 • Onyesha umeelewa kazi client anataka afanyiwe.

Ok.

Hapa ngoja nikwambie kitu.

Ukiwa unatuma proposal, let say uliona mtu anayehitaji kusaidiwa kufanya translation kwaajili ya project yake inabidi uwe very smart uhakikishe katika first lines umemwonyesha umeelewa anachotaka kufanyiwa.

Pia show them you are going to do the best work.

Kamwe usipoteze muda ukielezea jinsi ulivyo na experience ya miaka 10.

No one cares about that.

Client wants to know you understand his or her work and you have right skills to work on the project.

3 • Be Active on the Platform.

Vipi hiyo?

Ili clients waone kweli upo serious kama ulivyojielezea kwenye profile yako Inabidi uwe active UpWork.

Siyo akiangalia last seen anaona ni one month ago.

You need to login your account everyday so that client knows you are active.

Pia kuwa active itakusaidia kujibu messages kwa haraka.

Lazima ufahamu success loves speed.

4 • Apply for job offers as many as you can.

Yes.

Ukitaka kuongeza chances upate first job offer unahitaji ku-apply mara nyingi.

Kumbuka there hundreds of job posted every single day.

Ni kazi yako kutafuta unayoona inakufaa na kufanya application.

Kama ndiyo kwanz anaanza Online freelancing nakushauri ni vizuri kupata guidance kwa mtu mwenye uzoefu.

Utajifuza kwa haraka zaidi.

5 • Ukipata kazi yako ya kwanza ifanye vizuri ili upate good reviews.

Ok.

Sasa umeshafanikiwa kupata first job offer.

Nini kinafuata?

Piga kazi vizuri tena ndani ya muda mliokubaliana.

Hii itakusaidia kupata good review na ndiyo itakuwa mwanzo wako wakutengeneza hundreds if not thousands of dollars as days rolls on.

Kuwa serious kidogo tu and you are good.

Kupata first job offer si ngumu. Ni vile tu watu hawana right info how to do land your first offer.

Niishie hapa kwa leo.

Tukutane tena siku nyingie kwaajili ya darasa amazing kama hili.

Cheers 🥂
 
Kuna haja kubwa sana ya kuanzisha forum ya "MAKING MONEY ONLINE".

Wabongo ilibidi tuwe mbali sana hizi vitu kwasababu internet ni bei rahisi sana na speed ni nzuri ila inatumika kuchekia udaku insta, kufowadi memes / vichekesho groups za WhatsApp, kuangalia porn, na takataka kibao, huko south Africa 1 GB inabidi ujipinde ulipe kama msimba hivi.

Kuna fursa nyingi sana online hata kama huwezi chochote unaweza kununua Huduma kwa bei rahisi na kuuza kwa Wateja wa marekani kwa bei ya juu, kwa mfano unaweza kwenda huko fiverr ama up work ukajinadi wewe ni mchoraji kumbe hujui, ukipokea kazi unaenda kwa vibanda vya wachoraji wakare wanakuchorea hata kwa buku 5 michoro iliyonyooka wewe unauza kwa dola 5 na kadri unavyozidi kusifiwa unatoza 10 unaenda mpaka 20.

Kuna lundo la waburudishaji huko insta ambao huenda hawaingizi chochote ila wanatoa burudani kwa followers wao bure kabisa labda wakibahatika kupost matangazo ya dawa za nguvu za kiume ndio wanapataga hata teni, aina hii ya watu ilibidi wawe na blogs ama apps zao zilizo na ad networks kama AdSense, propeller ads, adsterea, medianet. N.k, wanaposti stories au video nusu then wanashawishi followers wakatazame video nzima kwenye blogs ama apps zao ili wafaidike kwa kuingiza pesa.

Katika dunia ya Leo ukijiongeza huwezi ukatamani ajira hizi za maofisini za laki 5, ajira za online zinalipa mno hasa ukiangalia sisi hapa kwetu matumizi ni madogo, unakuta unaingiza hata dola 100 (220,000 pesa ya madafu) kwa siku ambayo kwa nchi za ulaya zinazolipa mshahara wa chini elf 20 kwa saa ni hela ya kawaida ila kibongo bongo hapa ushawini .

Changamoto inapokuja ni kwamba wabongo wengi wanaofanya hizi online works (ukiachana na forex) ni wachoyo wa ramani na kuna baadhi yao wanadanganya kuwa wanaingiza pesa mtandaoni ili wapate wanafunzi wataolipia ada ya darasa kumbe wao kama wao hawajawai kuingiza hela katika kile wanachofunidisha, ukitaka kuwajua ulizia ushahidi wa hela waliyoingiza na miamala ya kutoa hizo pesa, wengi huishia kubwabwaja maneno.
 
Kuna haja kubwa sana ya kuanzisha forum ya "MAKING MONEY ONLINE".

Wabongo ilibidi tuwe mbali sana hizi vitu kwasababu internet ni bei rahisi sana na speed ni nzuri ila inatumika kuchekia udaku insta, kufowadi memes / vichekesho groups za WhatsApp, kuangalia porn, na takataka kibao, huko south Africa 1 GB inabidi ujipinde ulipe kama msimba hivi.

Kuna fursa nyingi sana online hata kama huwezi chochote unaweza kununua Huduma kwa bei rahisi na kuuza kwa Wateja wa marekani kwa bei ya juu, kwa mfano unaweza kwenda huko fiverr ama up work ukajinadi wewe ni mchoraji kumbe hujui, ukipokea kazi unaenda kwa vibanda vya wachoraji wakare wanakuchorea hata kwa buku 5 michoro iliyonyooka wewe unauza kwa dola 5 na kadri unavyozidi kusifiwa unatoza 10 unaenda mpaka 20.

Kuna lundo la waburudishaji huko insta ambao huenda hawaingizi chochote ila wanatoa burudani kwa followers wao bure kabisa labda wakibahatika kupost matangazo ya dawa za nguvu za kiume ndio wanapataga hata teni, aina hii ya watu ilibidi wawe na blogs ama apps zao zilizo na ad networks kama AdSense, propeller ads, adsterea, medianet. N.k, wanaposti stories au video nusu then wanashawishi followers wakatazame video nzima kwenye blogs ama apps zao ili wafaidike kwa kuingiza pesa.

Katika dunia ya Leo ukijiongeza huwezi ukatamani ajira hizi za maofisini za laki 5, ajira za online zinalipa mno hasa ukiangalia sisi hapa kwetu matumizi ni madogo, unakuta unaingiza hata dola 100 (220,000 pesa ya madafu) kwa siku ambayo kwa nchi za ulaya zinazolipa mshahara wa chini elf 20 kwa saa ni hela ya kawaida ila kibongo bongo hapa ushawini .

Changamoto inapokuja ni kwamba wabongo wengi wanaofanya hizi online works (ukiachana na forex) ni wachoyo wa ramani na kuna baadhi yao wanaanzisha semina kabisa za watu kuchangia kiasi Fulani ili wafundishwe wakati hata anaetaka kufundisha hajawahi kuingiza pesa yeye kama yeye kwa njia anayotaka kufundisha.

VIJANA CHANGAMKIENI FURSA MITANDAONI

I made my first money as Online Freelancer in 2016.

I’m very good at selling.

Here am today. Sharing my experience with anyone who think its good for them.

Mtandaoni kuna pesa.

Inabidi uache woga na kuwa negative.

Stop thinking utakula bila kuliwa.

That one is not mine. It’s from President JK himself

It’s called win win situation.

Watu wengi hawataki kuwekeza pesa kidogo kujifunza knowledge mpya but they will spend hours trolling people on the internet.

It is shame. You know
 
Watu hawapendi kufanya mambo magumu kwasababu they are so used to old habits.

Pia they have this closed mindset that it’s very hard for them to see new opportunities.

They wait government to give them jobs. It is unfortunate that won’t happen.

Job economy is dying.

Now we are transitioning to new type of economy. Skill based economy.

And here is the last thing.

Research zinaonyesha zaidi ya 75 percent ya waajiri wanaona ni bora kumpa kazi freelancer.

It is good for business you know.
 
Client mwingine tena huyu hapa amejibu proposal yangu jioni hii japo nilituma kwa kuchelewa (two days after he posted his advertising)

IMG_5972.JPG

My point here is not to brag but to show you it is possible.

Na kama utahitaji nikusaidie im here.

Send me email.

Why not?
 
Watu hawapendi kufanya mambo magumu kwasababu they are so used to old habits.

Pia they have this closed mindset that it’s very hard for them to see new opportunities.

They wait government to give them jobs. It is unfortunate that won’t happen.

Job economy is dying.

Now we are transitioning to new type of economy. Skill based economy.

And here is the last thing.

Research zinaonyesha zaidi ya 75 percent ya waajiri wanaona ni bora kumpa kazi freelancer.

It is good for business you know.
I made my first money as Online Freelancer in 2016.

I’m very good at selling.

Here am today. Sharing my experience with anyone who think its good for them.

Mtandaoni kuna pesa.

Inabidi uache woga na kuwa negative.

Stop thinking utakula bila kuliwa.

That one is not mine. It’s from President JK himself

It’s called win win situation.

Watu wengi hawataki kuwekeza pesa kidogo kujifunza knowledge mpya but they will spend hours trolling people on the internet.

It is shame. You know

Mkuu tumiaga kiswahili, tunaojua hii lugha ya malkia ni wachache mno na inawaacha wengi njia panda,
 
Mkuu umeongea kweli kabisa wengi tunasikia tu ,kwamba unaweza kutengeneza hela mtandaoni lakini hatufahamu tunaanzaje. Kupata ujuzi unahitaji mjuzi wa kukufundisha ama kukupa madini ya ushindi.
Mkuu Machozi ya Simba mie naomba niwe mwanafunzi wako katika somo hili
 
Mkuu umeongea kweli kabisa wengi tunasikia tu ,kwamba unaweza kutengeneza hela mtandaoni lakini hatufahamu tunaanzaje.
Kupata ujuzi unahitaji mjuzi wa kukufundisha ama kukupa madini ya ushindi.

Mkuu Machozi ya Simba mie naomba niwe mwanafunzi wako katika somo hili

Nimekuwa hapa JF nikufundisha mambo mengi sana kuhusu Online Freelancing.

Ni wewe tu hujanisoma.

Pitia post za nyuma there so many things to learn.

Pia kama unataka nikupatie class send me email.

I have been working as Online Freelancer for years.
 
Mkuu nikupongeze kwa kushare ujuzi wako nasi. Nimefutilia nyuzi zako karibia zote lakini sikua nimeona jinsi naweza kufanya. leo kuna angle nimeona naweza kufanya ndio nimeomba muongozo

Halafu kujisomea mwenyewe haitoshi unahitaji kupata msaada kwa mtu ambae tayari anafanya hiyo kitu ili kuondoa makosa yasiyo ya lazima
 
Vizuri sana kwa kufuatilia post zangu hapa JF

Leo nimesema niweke na ushahidi kabisa ili watu muone inawezekana kufanya kazi kama Online Freelancer na kupata pesa.

Lakini kabda hujaanza inabidi ujifunze kwanza toka kwa mtu anayefanya Online freelancing.
 
Na ndio maana point niliweka clear tangu mwanzo kwamba nahitaji muongozo kutoka kwa mtu anaefanya hii kitu
 
Mkuu mbona naandika kiingereza simple sana?

Nilidhani watu wanaelewa kirahisi.

Sawa, nitakuwa natumia Kiswahili.

Tuendelee kupiga kazi tutengeneze pesa.
Yes its very simple but its not national language,

It might be easy as drinking water for a manual transmission car driver to drive automatic transmission cars but its very hard for a regular walker to know even what D means,

Kimombo tunakijua vizuri tu ila sio lugha ambayo kila mtu anaijua humu ndio mana kila kitu tunaweka kwa kiswahili ili wasomaji na wachangiaji wote waelewe ujumbe
 
If you don’t speak English Online freelancing is not for you.

How are you going to communicate with client if you don’t understand English?
 
Back
Top Bottom