Heri nusu shari kuliko shari kamili: Magaidi wa Hamas wanaendelea kuweka silaha chini na kujisalimisha kwa jeshi la Israel.

Heri nusu shari kuliko shari kamili: Magaidi wa Hamas wanaendelea kuweka silaha chini na kujisalimisha kwa jeshi la Israel.

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Utaratibu ni ule ule, lazima wavue nguo zote (kasoro boxer) kabla ya kuomba kujisalimisha, Ni hatua za kiusalama kwa tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.

They did rejoice on 7th October right?

Utaratibu ni ule ule, lazima wavue nguo kabla ya kukubaliwa kujisalimisha, Ni hatua za kiusalama kwa tahadhari ya kwamba kuna mabomu ya kujitoa muhanga huwa yanashonwa kwenye nguo.

They did rejoice on 7th October right?

View attachment 2838046
IDF sasa wamenza Usanii sawa ni jeshi lenye nguvu.

Lakini je na huyo jamaa mwenye likitambi hicho ni Hamas?
 
Israel wamewaweza mnoo magaidi safari hii, yaani ukijisalimisha tu, lazima uvue nguo na kamera ikurekodi. Hamas wachache waliobakia nina uhakika huko waliko wanajutia mnoo tukio la 7 oktoba.
Jeshi la IDF litapata Deals nyingi sana kwenye mafunzo ya namna ya kupigana na Magaidi, mteja wa Kwanza ni China
 
Jeshi la IDF litapata Deals nyingi sana
🤭
20231103_234657.jpg
 
Wayachome moto tuu humo kwenye mahandaki, wasijipe kazi ya kuyasafirisha.
Israel wamewaweza mnoo magaidi safari hii, yaani ukijisalimisha tu, lazima uvue nguo na kamera ikurekodi. Hamas wachache waliobakia nina uhakika huko waliko wanajutia mnoo tukio la 7 oktoba.
 
Back
Top Bottom