Wewe unadhani Magharibi hawatekwi na kuawa? Wewe una upungufu wa exposure mwilini.Uhuru wa kutekana na kupotezana sio? Au uhuru wa kubambikia watu kesi?
Kama hatukua tayari kwa mfumo wa vyama vingi, warudishe chama kimoja ieleweke. Kuliko haya machungu mnayowajazia watu mioyoni. Mwisho huwa mbaya
Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Hivi BUNGE lako lingeongelea Swala Analofanyiwa Lissu EU ingeongea Unamuona Lissu hana Connection?? HIVI unahisi ndio Mara ya kwanza Wamekupangia We ndo Ulikua Hujuagii wanavyopangiwa hao viongozi wakoUhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Wala Kodi wako Kila sehemu hata huko Magharibi. Kule Marekanani Elon musk amefichua ulaji Kodi mkubwa sana, cha msingi tuwe wakati kwao.Unatutakia nini wewe, eti tuwe wakali kwa wala kodi zetu, hao wala kodi zetu unadhani wanataka hata kuambiwa kitu, achilia mbali kusikia, mwishowe watukamate kwa kuwaambia ukweli wakatitoe roho zetu
Hiyo pesa ya madafu ya wananchi kwenye taifa la GDP bilioni 80 na idadi ya watu milioni 70 hata ukusanye vipi Kodi huwezi kuendelea .Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Hivi lakini common sense sinikitu kila mtu anayo au ukienda shule unaipoteza??? Jomba Kesi aliopewa Lissu ni Haifai uongo mtupuuu na ataishinda ila kwanin wanampotezea muda wake hapo Gerezani Sio Haki sio sawa na Uhuru wa maneno bila vitendo.. Kwanini Bunge lako Lisiongelee na kupambania juu Ya Lissy Shenzi wanaogopa kupotezaa Ajira zao ndo sababu hawatendi hakiUhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Sasa badala ushukuru wanakusaidia usifike huko kwa Sudan na Congo unashupaza shingo.Ulaya watusaidie kwanza kutatua shida wacongo, DRC, Sudan, Somalia, Ethiopia, Ukraine, Palestine, Sahel na Libya kabla ya kutaka kutatua shida za watanzania. Tutawashukuru sana.
Akina Ndugai waliona mbali kuhusu kutegemea misaada n mikopo kutoka kwa wakoloni wetu. Tunafahamu wakoloni wana watu wao humuhumu miongoni mwetu, ushahidi wa wasiwasi wetu ndio huu.
Utakuwa Rais wa hovyo kama unapokea maagizo kutoka nje ya mipaka. Kama wanaweza waende wakawaondoe M23 mashariki congo ili raia waonye amani.A short-sighted mind arguments!
Kila Kitu ni Cha kusaidiwa kutoka nje ya nchi hii, Halafu eti unataka kuwa huru?
Uliona wapi Rais akizuia uchaguzi usifanyike? Ni nchi Gani hiyo duniani?Mkuu hata kama tungekuwa tunajitegemea,ni haki kweli kuonea na kutisha raia?
Raia wanatekwa,wanapigwa,wanauawa kisa tu wameiambia serikali yao ukweli?
Barabaran ya Tunduru songea kila sehemu Kun mabango ya Msaada kutoka WATU WA MAREKANI ata choo Cha shule kinawashinda
ππππBarabaran ya Tunduru songea kila sehemu Kun mabango ya Msaada kutoka WATU WA MAREKANI ata choo Cha shule kinawashinda
Watu wanapotetezwa tunaambiwa wamejifichaUhuru wa kutekana na kupotezana sio? Au uhuru wa kubambikia watu kesi?
Kama hatukua tayari kwa mfumo wa vyama vingi, warudishe chama kimoja ieleweke. Kuliko haya machungu mnayowajazia watu mioyoni. Mwisho huwa mbaya
Tangu uupate huo uhuru kuna kipi cha maana ambacho umeshafanya mpaka usitake tena kupangiwa cha kufanya?..Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Nadhani hao Maccm kabla ya kuwajibu EU wangekuwa wanawatafuta kama huyu mzee na kuuliza maoni yao.Ukishakuwa omba omba, kamwe huwezi kuacha. Kwa hiyo usijipe matumaini hewa.