Unataka tujitegemee ili tusihojiwe wanapoua na kuteka watu?Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
WW HUJITAMBUI. NCHI YENU INAENDESHWA KWA BAJET ZA WAZUNGU KWA KATI YA 40 - 50%.Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Tanzania ndio Nchi pekee amabayo Mtu akimtukana Kiongozi au kuitukana Nchi ati ndio anaonekana mpigania Haki.
Tanzania ndio Nchi pekee amabayo Mtu akimtukana Kiongozi au kuitukana Nchi ati ndio anaonekana mpigania Haki.
Ukiwa mkali wasiibe kodi zako wanakutekaUhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
kwa hiyo unaunga mkono wizi wa kura ili walala hoi washidwe kuweka viongozi wao madarakani ama?Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Nchi hii tuna wapum.bavu wengi. Ndiyo nchi pekee ambayo kiongozi akiwa mwizi, akiambiwa ni mwizi kuna wapumb.avu wanasema ametukanwa. Ndiyo nchi pekee ambayo kiongozi akidhulumu haki za wananchi, akiambiwa asidhulumu, kuna hayawani wanasema kiongozi ametukanwa!
Mikono yake inanuka damuYaani wewe shida yako tu umkamate Lissu baasi na umuue Kitima?
Nani akusanye kodi wakati pesa zote zinaibiaa CAG kila siku anaibua madudu wizi wa pesa za umma, uhuru gani unataka? Uhuru wa kuiba pesa za walipa kodi huchukuliwi hatua lakini chadema wakidai haki unawabambikia kesi haramu za kishetaniUhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Jaribuni km mnaweza.Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Usijidanganye Mkuu!Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Pesa za ndani zote mnaiba na kujimilikisha wenyewe na kesi hakuna lakini mnatumia pesa nyingi kuwadhoofisha chadema badala ya kuzielekeza kwenye maendeleoUhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Hoja yako ni ipi? Kwamba kwakua magharibi wanapotezwa basi tuchukulie ni jambo la kawaida?Wewe unadhani Magharibi hawatekwi na kuawa? Wewe una upungufu wa exposure mwilini.
Ikitengeneza Sawa tu. Ila the best it can do sio watu wake kuendekeza na kuwapa nafasi watu hawa wasifiaji ila iwezeshe watu kwenye makundi au mmoja mmoja kufanya jambo lakini pia iboreshe mazingira ya biashara ya bidhaa zalishwa.Kwahiyo unataka serikali itengeneze toothpicks? Hata huko China sio serikali inayotengeneza toothpicks, kwanini wewe usitengeneze na kutuuzia, badala yake miti ya kutengeneza toothpicks unachoma mkaa.
Kwani ulaya hawana masikini? Mbona wanakupa pesa wakati kwao wana umasikini na shida kibao? Acheni kutumia pesa zao kukandamiza demokrasia na kuidhoofisha chadema kuwatesa wapinzani kuwatumia Polisiccm na mahakamaccm kupora haki kuwapiga watu kuwabambikia kesi haramu za kishetaniWewe unadhani Magharibi hawatekwi na kuawa? Wewe una upungufu wa exposure mwilini.
Sio kwa serikali hii ombaomba ya ccmUhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Pesa za ndani zote wanaiba na zingine wanatumia kudhoofisha chademaSio kwa serikali hii ombaomba ya ccm
Heri tuamrishwe cha kufanya kuliko kuishi kwa kutekana na kuuana kama ilivyo sasa.Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.