Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 2,732
- 4,568
Tukose misaada wakati tuna rais aliyeishia form four tutatoboa ?Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Umeongea hupuuzi sana hata kutengeneza waya wa umeme hunakushida alafu unategemea elimu zao,teknolojia na afya
JIFUNZE KWA CHINA KISHA NDO UJE KUNIJIBUKwa hiyo wewe ukisaidiwa na mtu anaweza kukufanya lolote na chochote?
Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Unaongea kwenye keyboard, kesho tu utaona mtu huyo Ulaya kwenda kuwaomba washirika wa bajetiUhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
ni kwel kutegemea misaada ni kitu kibaya.. ila kwa nchi zetu za ki africa ,cnazani inaweza chukua miaka 1000 mbele kuanza kujitegemea wenyeww...Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Wamekusikia weka na namba yako ya simu watakutafuta.Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Wewe ndio hunazo. Ulaya walinde nchi zao na Tanzania ilinde nchi yake. Usalama ni muhimu kuliko misaada mbuzi. Wanakupa sh 10 halafu wao wanachukua sh 1000. Yaani mkoloni atuambie sisi tufanye nn kwa watu wetu kama vile hawajui Israel inafanya nn Gaza. Ulaya hawana cha kutufundisha sisi.Huna akili kweli wewe... Tushachelewa
Sawa mzalendo uchwara....unadhani kuendesha nchi ni rahisi sana haswa hizi nchi masikini . ...Tanzania uchumi wetu ni ngumu bila kutegemea mikopo na misaada bibie..Wewe ndio hunazo. Ulaya walinde nchi zao na Tanzania ilinde nchi yake. Usalama ni muhimu kuliko misaada mbuzi. Wanakupa sh 10 halafu wao wanachukua sh 1000. Yaani mkoloni atuambie sisi tufanye nn kwa watu wetu kama vile hawajui Israel inafanya nn Gaza. Ulaya hawana cha kutufundisha sisi.
Huna heshima kwa mkuu wa nchi nawewe ...we uliyeishia chuo cha kilimo Sua una nini cha zaidi labda cha kulifanyia taifa lako?Tukose misaada wakati tuna rais aliyeishia form four tutatoboa ?
Kama kipi kibaya wametufanya ati?? Wao ndio walioamrisha kina Lokole wapigwe miti au kina Jemsi delicious?Kwa hiyo wewe ukisaidiwa na mtu anaweza kukufanya lolote na chochote?
Hatutaki hivyo tutumie akili ili tusielekezwe cha kufanya.Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Mimi nina heshima ninaongea ukweli angekuwa anajiheshimu na anajijua kaishia form four angekaa pembeniHuna heshima kwa mkuu wa nchi nawewe ...we uliyeishia chuo cha kilimo Sua una nini cha zaidi labda cha kulifanyia taifa lako?
Leo umeomba na kupewa risit za EFD mara ngapi?Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
ISSUE SIO VIKWAZO ISSUE NI SABABU ZA KIJINGA ZINAZOFANYA TUWEKEWE VIKWAZO.
YAANI UNAWEKEWA VIKWAZO KWASABABU TU UMESHINDWA KUWA NA FAIR AND FREE ELECTION, AU KWASABABU TU UMESHINDWA KUWEKA EQUAL POLITICAL GROUND KWA VYAMA VYOTE VYA SIASA.
Kama ni mikopo aaaah iyo sana, hata Marekanani Ina madeni makubwa tu kutoka China, imekopa, Ina deni. Deni ni zuri kuliko msaada.Sawa mzalendo uchwara....unadhani kuendesha nchi ni rahisi sana haswa hizi nchi masikini . ...Tanzania uchumi wetu ni ngumu bila kutegemea mikopo na misaada bibie..
Kwahiyo serikali ya uingereza ndio yenye kiwanda cha kutengeneza waya wa umeme? Huna ulijualo zaidi ya mkumbo. Kagame kapiga marufuku vya vya upinzAni na yuko madarakani kwa zaidi ya miaka 30, lakini anatangaza Visit Rwanda kwenye jezi za timu za Magharibi.Umeongea hupuuzi sana hata kutengeneza waya wa umeme hunakushida alafu unategemea elimu zao,teknolojia na afya