Acha ujinga wanapata matatizo Iran,Korea na Venezuela seuze Moja ya nchi masikini zaidi duniani itwayo Tanzania?Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Nina uhakika chadema wanafurahia nchi kuwekewa vikwazo huku wakijua kuwa vikwazo vinaumiza watanzania wenzao kuliko viongozi na CCM. Huwezi kumpenda kiongozi wa aina hiyo ambae haoni tabu moyoni mwake kama watoto wadogo wakikosa chanjo (vaccines). He is the public enemy number One kiongozi wa hivyo.Acha ujinga wanapata matatizo Iran,Korea na Venezuela seuze Moja ya nchi masikini zaidi duniani itwayo Tanzania?
Shule mlienda kujifunza ujinga?
Kumbe unajua kuwa raia wa kawaida wanapata matatizo nchi ikiwekewa vikwazo kwa hiyo unakusudia kuwapatia matatizo watz pia ili uende Ikulu. Rais wa hivyo ni sheeeda tupu, atakuwa ni Rais wa Magharibi sio watanzania. Huwezi kusema Ulaya wanatupenda sana kuliko Rwanda na Uganda ambako wapinzani wanauliwa na uchaguzi ubaibwa na Katiba zao zinachezewa Kila siku kuruhusu kagame na Museveni kuwa Rais mileleAcha ujinga wanapata matatizo Iran,Korea na Venezuela seuze Moja ya nchi masikini zaidi duniani itwayo Tanzania?
Shule mlienda kujifunza ujinga?
Mnaturudisha nyuma kudhani mabeberu wana huruma na sisi.Acha ujinga wanapata matatizo Iran,Korea na Venezuela seuze Moja ya nchi masikini zaidi duniani itwayo Tanzania?
Shule mlienda kujifunza ujinga?
Hao ndo wafadhili wa KUJENGA MATUNDU YA KUNYEA MAVI 😀😀😀Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Usihofu, wanatuhitaji kuliko wanavyotuhitaji. Muulizeni Ibrahim Traore atawapa ushuhuda. Tuna treni ya umeme kama wao, huoni kama tunasogea?Hao ndo wafadhili wa KUJENGA MATUNDU YA KUNYEA MAVI 😀😀😀
KULA MLE NYIE, HAJA MPATE NYIE ,PA KUNYEA WAJENGE EUROPIAN UNION??
Siku mkijenga vyoo munyee, não wataacha kuwapangia Cha kufanya!!!😅😅
Nabii Suleiman ndio mwongozo wetu pale tunapotatua dilemma kati ya mwenye nia njema na asiyekuwa na nia njema kwenye tukio linalobishaniwa. Anaefurahia tz kuwekewa vikwazo ndie mwenye nia ovu na watanzania, kwakuwa sote tunayafahamu madhara ya kuwekewa vikwazo. Huduma za wananchi zote zinakwenda kutetereka, kweli unataka watoto wadogo wateswe na vikwazo ili tume iwe huru?Wewe ni kawaida yako/unayo kwenye DNA kuunga mkono miujinga yoyote ukipewa kapelo na kanga ujifunge kibwebwe.
Walipa kodi mnawapoteza, hizo kodi zitatosha kweliUhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Siku hizi dunia ni kama kijiji na kwasababu hiyo ni vyema kwa nchi yoyote kushirikiana na nchi zingine kwenye masuala mbalimbali. Ila misaada ya siku hizi sio ya bure. Mashirika ya Kimataifa kama benki ya dunia na IMF hupendelea kutumia misaada kama njia ya kuchochea mienendo fulani ya utawalaUhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Unajua raa ya vieite wewe??Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Maana yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali kwa wanaotuibia Kodi zetu.
Dawa pekee ni kulipa na kukusanya kodi. Wazungu wanalipa Kodi alooo. Huwezi kuwaona siku na saa za kazi wako mitaani wanakunywa pombe. Kila mtu anatafuta kodi na Kila mtu ana deni la mkopo benki. Lazima ufanye kazi ule na kulipa madeni. Sisi hatufanyi kazi na hatulipi kodi, na hiyo inayokusanywa inakutana na kulipa tegemezi wengi kama usalama, polisi, majeshi na wastaafu wkuu ambao kazi zao sio za uzalishaji wa Moja kwa moja.Siku hizi dunia ni kama kijiji na kwasababu hiyo ni vyema kwa nchi yoyote kushirikiana na nchi zingine kwenye masuala mbalimbali. Ila misaada ya siku hizi sio ya bure. Mashirika ya Kimataifa kama benki ya dunia na IMF hupendelea kutumia misaada kama njia ya kuchochea mienendo fulani ya utawala
Haujawekewa vikwazo bali umeelekrzwa urekebishe ulipokosea.Nayo ni nongwa ya kusingizia ushoga?Kwani hamna mashoga miongoni mwenu?Nabii Suleiman ndio mwongozo wetu pale tunapotatua dilemma kati ya mwenye nia njema na asiyekuwa na nia njema kwenye tukio linalobishaniwa. Anaefurahia tz kuwekewa vikwazo ndie mwenye nia ovu na watanzania, kwakuwa sote tunayafahamu madhara ya kuwekewa vikwazo. Huduma za wananchi zote zinakwenda kutetereka, kweli unataka watoto wadogo wateswe na vikwazo ili tume iwe huru?
Una akili nyingi. Huu ni muda wa kuwasaka wanaotafuna pesa zetu tuwanyonge hadi kufa na wakwepa kodi na wasiofanya kazi kuhakikisha hawali kabisa. Sio muda wa kusaka nani aende Ikulu na nani abaki. Tatizo letu kuu haliko ndani ya mipaka bali mifumo ya Dunia ya kinyonyaji kwa nchi nyonge. Hata uandike katiba nzuri namna gani kwa wino wa Dhahabu hali yetu haitabadilika kama hatutabadilisha mindsets zetu.naunga mkono hoja kwa asilimia 100
Nadhani wapi, hata Lissu alishindwa kulaani nchi za Magharibi zinazoeneza ushoga kwa kutulazimisha tuukubali, akisema ni haki ya binafamu. Hataki kuwaudhi wazungu kwa chochote na kwa lolote. Mzungu mweusi.Haujawekewa vikwazo bali umeelekrzwa urekebishe ulipokosea.Nayo ni nongwa ya kusingizia ushoga?Kwani hamna mashoga miongoni mwenu?
Kama utulie na ujifunze upya maana ya "kulazimisha".Usifananishe na neno "urasimishaji" ambao CCM wamewarasimisha mashoga miongoni mwenu.Una akili nyingi. Huu ni muda wa kuwasaka wanaotafuna pesa zetu tuwanyonge hadi kufa na wakwepa kodi na wasiofanya kazi kuhakikisha hawali kabisa. Sio muda wa kusaka nani aende Ikulu na nani abaki. Tatizo letu kuu haliko ndani ya mipaka bali mifumo ya Dunia ya kinyonyaji kwa nchi nyonge. Hata uandike katiba nzuri namna gani kwa wino wa Dhahabu hali yetu haitabadilika kama hatutabadilisha mindsets zetu.
Formula ni Moja tu, ukiona kiongozi wa Afrika anapendwa sana na mabeberu jueni mmeliwa, atakuwa hafanyi ya
Nadhani wapi, hata Lissu alishindwa kulaani nchi za Magharibi zinazoeneza ushoga kwa kutulazimisha tuukubali, akisema ni haki ya binafamu. Hataki kuwaudhi wazungu kwa chochote na kwa lolote. Mzungu mweusi.
Kama mna akili za kuteka na kutesa wananchi wengine hizo akili za kujitegemea mtatoa wapiUhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Maana yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali kwa wanaotuibia Kodi zetu.
Umekaa hapo kwenye keyboard unaleta jeuri ya kukataa misaada una uhakika nchi inaweza kujiendesha bila misaada ya kifedha?Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Maana yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali kwa wanaotuibia Kodi zetu.
Hakuna mtu mwenye uthubutu huo mkuu. Ni sawa na kusubiri meli uwanja wa ndege.Unaonaje kama nchi tuanzishe ya kuondoa vibao vyote vinavyosomeka "Kutoka kwa Watu wa Marekani" na vile vya "Funded by EU"
Tena itangazwe live hadi huko bunge la Ulaya na USA waone tukiving'oa?
View attachment 3329677View attachment 3329678
Wanaotuibia kodi zetu ni wanasiasa. Una uthubutu wa kuwa mkali kwa mwanasiasa zaidi ya kugeuka kuwa chawa wake?Na sisi raia tuwe wakali kwa wanaotuibia Kodi zetu.
Huyu jamaa ni mpuuzi sana. Ana utoto mwingi, akikua ataacha.Umeongea hupuuzi sana hata kutengeneza waya wa umeme hunakushida alafu unategemea elimu zao,teknolojia na afya