Acha uwongo,akina Mwabukusi na Dkt.Slaa mbona walikamatwa kisa wameikosoa serikali?Partial democracy hufunhwi maana Haina amei za kindezi ndezi kama kwenye authoritarian.
Huoni Kwa Sasa unatukana Hadi Rais ,unamwaga povu ila unaachwa tuu but Kwa Mwendazake wote mliufyata yaani alibakia kuja kuwaoa tuu.
Mchakato wa KATIBA MPYA Wapinzani waliachwa huru kufanya siasa bila zengwe.Acha mzaha wewe,kabla ya Magufuli kulikuwa na Demokrasia gani ambayo saizi haifanyiki? Yaani kipi kilifanyika awamu ya JK ambacho saizi hakifanyiki?
Nilikwambia mapema kwenye post yangu,ukivuka magari utakamatwa elewa maana ya partial democracy.Acha uwongo,akina Mwabukusi na Dkt.Slaa mbona walikamatwa kisa wameikosoa serikali?
Unaelewa maana ya Demokrasia kweli?
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Wapinzani wapi ambao waliachwa huru bila zengwe? Unakijua unachoongea au unapayuka tuu? Mwazazo,Mwandishi wa Iringa,Mabomu ya Arusha,Kesi Polisi ,kufukuzwa Bungeni,Kuopita bila kupingwa nk sio zengwe au siyo?Mchakato wa KATIBA MPYA Wapinzani waliachwa huru kufanya siasa bila zengwe.
Lakini Mama katandaza Mapolisi huko Mwanza na kuwafanyua Zengwe Wanaharakati wa Sauti ya Mtanzania.
narudia tena kukwambia we ni KIAZIBahati mbaya hakuna Serikali ya kukutafutia maisha.Hao walimu mnaowataja Wana maisha mazuri kuliko Watumishi wengi wa Halmashauri na Wizarani.
Na Mimi nasema waulize wakulima wanataka warudi Misri au safari iendelee? Waulize Wafanyabiashara wanataka warsudi Misri au safari iendelee? Na mwisho Uliza Watumishi Kwa ujumla wanataka warudi Kwa Sera za Mwendazake au tusonge mbele?
Narudia tena kukwambia wewe ni trakoonarudia tena kukwambia we ni KIAZI
Ndicho kipindi Wabunge wengi wa Upinzani waliingia Bungeni kuliko kipindi chochote tokea tupate Uhuru.Wapinzani wapi ambao waliachwa huru bila zengwe? Unakijua unachoongea au unapayuka tuu? Mwazazo,Mwandishi wa Iringa,Mabomu ya Arusha,Kesi Polisi ,kufukuzwa Bungeni,Kuopita bila kupingwa nk sio zengwe au siyo?
Polisi wataendelea kishika doria Ili kuwashughukikia wanaotaka kuleta vurugu za kuvuruga amani.
Kwani saizi uchaguzi umefanyika? Wabunge wa upinzani kuwa wengi Bungeni ndio Demokrasia au? Toa upuuzi hapa.Ndicho kipindi Wabunge wengi wa Upinzani waliingia Bungeni kuliko kipindi chochote tokea tupate Uhuru.
Huyu Mama kafanya nini so far zaidi ya kuzalisha Machawa?.
Umeona alivyojaza Mapolisi huko Mwanza kwa ajili ya Slaa na Mwabukusi mbona anapanick au hajiamini?Kwani saizi uchaguzi umefanyika? Wabunge wa upinzani kuwa wengi Bungeni ndio Demokrasia au? Toa upuuzi hapa.
Yuko sahihi kabisa ,hao ni wazushiUmeona alivyojaza Mapolisi huko Mwanza kwa ajili ya Slaa na Mwabukusi mbona anapanick au hajiamini?
Huo Udikteta kama wa Mwendazake.Yuko sahihi kabisa ,hao ni wazushi
Mwendazake hakuruhusu hata kusafiriHuo Udikteta kama wa Mwendazake.
Hakuna tofauti sema Samia anawahadaa USA na EU kuwa yeye ni Reformer wakati haonyeshi kwa matendo.Mwendazake hakuruhusu hata kusafiri
Ethiopia ni nchi inayokua kiuchumi Afrika na imealikwa kujiunga na BRICS.. Kahamie huko patakufaa ila jiulize kwanza kwanini inaongoza kwa raia wake kukamatwa nchi zingine kama wahamiaji haramu? Sio kila unachosikia kina ukweli. Hapo Kenya mnapopasifia kuwepo demokrasia watu wanalala kwenye nyumba za mabati. Pale Nairobi ni watu wachache sana wanamiliki nyumba... wengi wao ni wapangaji. Hawa wanaharakati uchwara ndo wanawapoteza kwa kuwadanganya vilaza kama wewe.una shida mahali, kutokimbia nchi sio kuridhika mitanzania mingi mijinga bora ife na njaa kuliko kuonesha awaridhiki
Umekula mzee? au ndo ndo unasubiri mkutano ya Chama mmepewe posho ya kodi zetu muone mmemaliza maisha uku ukisubiri teuzi za UVCCMEthiopia ni nchi inayokua kiuchumi Afrika na imealikwa kujiunga na BRICS.. Kahamie huko patakufaa ila jiulize kwanza kwanini inaongoza kwa raia wake kukamatwa nchi zingine kama wahamiaji haramu? Sio kila unachosikia kina ukweli. Hapo Kenya mnapopasifia kuwepo demokrasia watu wanalala kwenye nyumba za mabati. Pale Nairobi ni watu wachache sana wanamiliki nyumba... wengi wao ni wapangaji. Hawa wanaharakati uchwara ndo wanawapoteza kwa kuwadanganya vilaza kama wewe.
Speak for Yourself..., Mimi wa wakati ule ndio wa wakati huuPartial democracy hufunhwi maana Haina amei za kindezi ndezi kama kwenye authoritarian.
Huoni Kwa Sasa unatukana Hadi Rais ,unamwaga povu ila unaachwa tuu but Kwa Mwendazake wote mliufyata yaani alibakia kuja kuwaoa tuu.
Uko sahihi huyu jamaa ni kiazinarudia tena kukwambia we ni KIAZI
Kwahio wewe mtu akikuacha uongee hata kama hakusikilizi wala kufuata kile ambacho yeye kama mtumishi wako hakifuati wewe kwako unaona hio ni Demokrasia ? (Demokrasia ya Kupiga Porojo)Hiyo ndio partial democracy kwamba unaongea ila usivuke mpaka.Kule kwingine huruhusiwi hata kuongelea issue ya serikali.
Redio zote za Umma na private ilikuwa ni kusifia na kuabudi,vijiweni watu wana hofu ,Ukiwa na pesa ni shida.Upumbavu kama huo wewe ndio unataka? Utakuwa ni mtu uliyezoea kufugwa.
Unajua gharama na effects za huo wizi in the long run ? vipi hao walamba asali siku hio asali ikiishi au ikibakia ndogo ? Huoni kwamba nchi itaparaganyika na mwisho wa siku alternative ni watu Mapinduzi ambayo God Forbid inaweza ikawa Jeshi ambapo ukajikuta kwenye huo huo Udikteta ambao unasema ni mbaya (and by then hata resources watu wameshamaliza)Huo huo wizi ndio safi maana inakupa chance ya kusogeo kuliko kuishi kama jela wakati uko mtaani ,ikiwa hivyo si Bora ufe tuu yaani uwe unafungwa na kuamuliwa utu wako?