Mkungunero
JF-Expert Member
- Aug 13, 2023
- 401
- 569
Kumbuka wanasiasa wanakuwa na marafiki nje ya nchi let say chadema nchi anapata misaada kutoka cdu na vyama rafiki hivyo ni source nyingine ya foreghn money ambayo ni muhimu sana katika nchi. Leo hii tundu lisu Yuko nje ya nchi, unafikiri atakuja bila Dolla au pesa yoyote ya nje am ago Ina hochea uchumi kwa spending atakazofanya akiwa ndani?Siasa, Wanasiasa, utitiri wa vyama wanazalisha nini, zaidi ya ku-drain our coffers kwa ruzuku ? Unaweza kusema ni a necessary cost.., lakini huwezi kuanzisha vyama vya Siasa kama njia ya mapato unaanzisha kama Matumizi ambayo ni ya lazima....
Kwa logic yako unaweza kuambiwa uanzishe kiwanda au Chama kingine cha Siasa ili vijana wengi zaidi waingie kwenye haya malumbano ukasema uanzishe Chama ili watu wapate Ujira ? Hii ndio huwa naita kujiibia mfuko wa Suruali ili uweke kwenye mfuko wa Shati (Cutting your Nose to Spite your Face)...., Kwa Hitimisho.., huu mtizamo wako wa vyama vya Siasa kama chanzo cha ajira hence kukuza Uchumi nadhani haujalifikiria vema na unahitaji kurudi kwenye drawing board...
Kwamba Tundu Lissu kabla hajawa Mwanasiasa alikuwa sio Mwanaharakati wala alikuwa hana hao marafiki ? Ukiwa Mbunge au hata wewe hapo ukiwa na good cause yoyote unashindwa kuandika a write up na kuomba misaada ?Kumbuka wanasiasa wanakuwa na marafiki nje ya nchi let say chadema nchi anapata misaada kutoka cdu na vyama rafiki hivyo ni source nyingine ya foreghn money ambayo ni muhimu sana katika nchi. Leo hii tundu lisu Yuko nje ya nchi, unafikiri atakuja bila Dolla au pesa yoyote ya nje am ago Ina hochea uchumi kwa spending atakazofanya akiwa ndani?
Hata unaelewa nilichoandika au umeamua tu kuunganisha herufi ili zilete maneno ?Huwezi kuwaambia hivyo nchi za kidemokrasia kama Marekani, Japan, Korea Kusini au Ulaya wakakubali.
Uchumi ni give and take jamaa yangu au kwa lugha ya uchumi inaitwa pareto optimality. Pia kumbuka nchi yoyote inaoperate through open economy ndo mana international economics au finance inasomwa vyuoni. Kuna watu ambao no naturally endowed. Mflgabe alitaka kupeleka nchi yake kwenye closed economy yaani kila kitu ni wao wenyewe kilichotikea mpaka Leo pipi tu bei yake ni laki moja ya tz sokoniKwamba Tundu Lissu kabla hajawa Mwanasiasa alikuwa sio Mwanaharakati wala alikuwa hana hao marafiki ? Ukiwa Mbunge au hata wewe hapo ukiwa na good cause yoyote unashindwa kuandika a write up na kuomba misaada ?
By the way hii way of thinking tumerudi nyuma sana..., badala ya kuongelea objectives za kuwa self reliant (Kujitegemea) kama nchi wewe unawaza watu kwenda nje kurudi na dollar au marafiki wa kuwapa pesa ? Hao marafiki wao wanazipata vipi na sisi lini tutaanza kuwapa wao. Ni kwamba kifikra tumerudi sana nyuma...
Ukipata fursa ya kusoma na kuelewa nilichosema utaona kwamba umejibu swali ambalo halipo..., Kwahio kwa busara zako Korea Ingekuwa bora zaidi kama kinachoendelea kingeendelea ila kwa kuvika kinachoendelea kwamba ni Demokrasia (Maigizo) wakati kinachofanyika ni kinachofanyika ?!!!Ukipata fursa ya kufika au kuishi nchi yenye demokrasia utaelewa ulichoandika ni utumbo mtupu.
How has this got to do with anything Kwamba kwa Mugabe kulikuwa hakuna vyama vya Siasa ? Kwamba free Market inakuwa more free kwa kufanya Vyama kama Commodity ?Uchumi ni give and take jamaa yangu au kwa lugha ya uchumi inaitwa pareto optimality. Pia kumbuka nchi yoyote inaoperate through open economy ndo mana international economics au finance inasomwa vyuoni. Kuna watu ambao no naturally endowed. Mflgabe alitaka kupeleka nchi yake kwenye closed economy yaani kila kitu ni wao wenyewe kilichotikea mpaka Leo pipi tu bei yake ni laki moja ya tz sokoni
Kwa mugabe kila kitu kulikuwa ubabe tu hakuwa na siasa za maana. Kilichoisaidia Rome ni presence ya Roman Catholic church ambayo inskusanya na kijiendesha kw sadaka zinazokusanywa ulimwengu mzima. Kila Jimbo duniani linakatwa asilimia 10 ya mapato kwenda Vatican kuilishaHow has this got to do with anything Kwamba kwa Mugabe kulikuwa hakuna vyama vya Siasa ? Kwamba free Market inakuwa more free kwa kufanya Vyama kama Commodity ?
Unajua Rome maendeleo ya kiuchumi makubwa yalifanyika under dictatorship ? Lakini that point is non-starter sababu sio lazima to have one without the other..., (one is not inverse proportional to the other)
Walizuia na mikono au?Walizuia umeme kukatikakatika ovyo
MiguuWalizuia na mikono au?
Hapa naona tunatoka kwenye reli ngoja nikurudishe..., ila kabla kwa taarifa yako Rome ilikuwa Republic way Before hata kabla ya Constantine kuchukua Dini ya Kikristu kama Dini yao (walikuwa wapagani) ila katika kila kipindi cha crisis sheria yao iliweza kumteua mtu na kumpa absolute power (Dictator) na hilo ndio jina alilopewa kwa miezi sita (ingawa wengi wali-abuse hii hali na kuendelea hata baadae zaidi; kwahio Rome as Republic ikaangushwa na na ma-Dictator mfano Caeser ali-decrale himself a Dictator for life) sasa ndio hapo nikakwambia arguably kwa kufanya vitu na kutekeleza mambo Rome iliendelea (maendeleo ya vitu) wakati huu wa so called Dictatorship (ingawa hii argument is neither here nor there; dictatorship should not be used kwamba ndio tool ya maendeleo)...,Kwa mugabe kila kitu kulikuwa ubabe tu hakuwa na siasa za maana. Kilichoisaidia Rome ni presence ya Roman Catholic church ambayo inskusanya na kijiendesha kw sadaka zinazokusanywa ulimwengu mzima. Kila Jimbo duniani linakatwa asilimia 10 ya mapato kwenda Vatican kuilisha
Nchi yoyote ambayo siasa haipo Kuna udictator hasa nchi za Africa maendeleo yake ni duni mfano Uganda, Burundi nk.
Na udikteta ambao ni dictatorship alafu unajidanganya ni Demokrasia (ulaghai) unaweza ukawa ni civilized (janja, janja na uongo) lakini kujaribu kudanganya watu wanaojua unawadanganya hizo ni dalili za nini ?Udikteta ni dalili za uncivilization.
Aliyekwambia Uganda na Burundi ni Dictatorship ni nani kwa macho yao hio ni Demokrasia na ndio hapo Mzizi wa Uzi wangu (Maigizo ya Demokrasia) na Maigizo haya yapo katika level tofauti tofauti kutoka USA mpaka Uganda (Hakuna real Power to the People) and no one is calling a Spade a Spade...Nchi yoyote ambayo siasa haipo Kuna udictator hasa nchi za Africa maendeleo yake ni duni mfano Uganda, Burundi nk.
Asante mchumi kwa kuleta point nzuri juu ya National IncomeUchumi ni purchasing power na huwezi kuwa na purchasing power kama hakuna Aggregate demand ambayo inapatika kwa kukuza ajira kwa njia yoyote. Ukiona rais ambaye anabana pesa kama kipindi Cha jpm wanaoumia ni wanachi. Ikifanya siasa ishamili ni ajira hiyo kuliko kuanzisha vimiradi ambavyo unasababisha Capital draining mana wanaofanya kazi ni wachina au wengine ambao wanapeleka pesa kwao kama remitancies
Mkuu, acha kutumia chakula safi (kitimoto) kwenye mifano negative. Usitafute watu ugomvi bure.kuliko kufugwa kama Nguruwe.
Rais wa rwanda hataki kabisa kutoka madarakani Wala Museveni wa Uganda hii ndo udictator. Hakuna mwekezaji anayekuwa interested kuwekeza nchi za kidictator hasa potential investors mana maamuzi yanakuwa ya mtu mmoja ambapo ni risk kwa mwekezaji. Labda kuwe ni potentiality kubwa mno na ahakikishiwe risky aversing vinginevyo wanaogopaga sana. Ndo mana kipindi Cha jpm watu kama akina Mo walitaka kukimbia nchi. Manji aliondoka, Mbowe akakimbia na wengine wengi kwa sababu wanaogopa one man show ambayo mpaka umfurahishe kwanza ndo survival yakoAliyekwambia Uganda na Burundi ni Dictatorship ni nani kwa macho yao hio ni Demokrasia na ndio hapo Mzizi wa Uzi wangu (Maigizo ya Demokrasia) na Maigizo haya yapo katika level tofauti tofauti kutoka USA mpaka Uganda (Hakuna real Power to the People) and no one is calling a Spade a Spade...
JingaBora maigizo maana walau yanakupa nafasi ya kupumua kidogo kuliko kufugwa kama Nguruwe.
Kama udikteta ni mzuri hamia Rwanda na kwingineko
Unazidi kuchanganya madesa na tunazidi kutoka kwenye reli...; na nikikufuata huko huenda tutajikuta tunaongelea Simba na Yanga...; Ukijitika kwenye Lecture at Hand utakubaliana na mimi kwamba Maigizo ni Mabaya na hata huko unakosema ni Udikteta wenyewe wanasema ni Demokrasia (hivyo hapo tutaanza debating what is democracy)Rais wa rwanda hataki kabisa kutoka madarakani Wala Museveni wa Uganda hii ndo udictator. Hakuna mwekezaji anayekuwa interested kuwekeza nchi za kidictator hasa potential investors mana maamuzi yanakuwa ya mtu mmoja ambapo ni risk kwa mwekezaji. Labda kuwe ni potentiality kubwa mno na ahakikishiwe risky aversing vinginevyo wanaogopaga sana. Ndo mana kipindi Cha jpm watu kama akina Mo walitaka kukimbia nchi. Manji aliondoka, Mbowe akakimbia na wengine wengi kwa sababu wanaogopa one man show ambayo mpaka umfurahishe kwanza ndo survival yako