Heri ya kuzaliwa Jakaya Mrisho Kikwete, nguli wa diplomasia na mwanajeshi uliyeiva

Hata baba yako hujawahi mtakia heri hivi mtamdaoni na kumpost.
 
Katika katiba kuna kipengele kinakataza akishatoka madarakani haruhusiwi kugombea tena siku za usoni hata baada ya awamu kadhaa kupita?
 
Badala tujadili maendeleo ya nchi tunaleta ujinga wa siku ya kuzaliwa ya mtu tena karibu nchi alitakiwa awe gerezani kwa kifungo cha maisha. Shame on you
 
 
Nje ya maada...Kumbe wewe ni Msomi wa chuo kikuu na chenye hadhi ya juu UDSM? Maskini Tanzania😱
 
Tatizo lililozalishwa na JK ,ila mungu akipenda tutamalizana nalo 2025 .
 
Hakuwa na baya na mtu Rais wetu
Hakukaa hapa Tanzania ndio maana hana baya na mtu.Angekuwa Rais wa kweli kabisa lzm angekuwa na baya na watu,hata YESU KRISTU ambaye baadhi yetu ukiwa ni pamoja na ww Lucas tunaamini alisulubishwa kwa kusema ukweli na kumtundika msalabani,mdogo wangu Lucas usipokuwa mkweli na ukawa mwongo na mwizi ktk level ya serikali kama Raisi wezi walio wengi zaidi ktk serikali watakupenda sana kwa sababu umeungana nao na lazima usiwe na baya.Kikwete alikuwa kiongozi asiyejali hiyo ndio sifa yake kuu zaidi ya hapo tutamuonea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…