Hakukaa hapa Tanzania ndio maana hana baya na mtu.Angekuwa Rais wa kweli kabisa lzm angekuwa na baya na watu,hata YESU KRISTU ambaye baadhi yetu ukiwa ni pamoja na ww Lucas tunaamini alisulubishwa kwa kusema ukweli na kumtundika msalabani,mdogo wangu Lucas usipokuwa mkweli na ukawa mwongo na mwizi ktk level ya serikali kama Raisi wezi walio wengi zaidi ktk serikali watakupenda sana kwa sababu umeungana nao na lazima usiwe na baya.Kikwete alikuwa kiongozi asiyejali hiyo ndio sifa yake kuu zaidi ya hapo tutamuonea.