Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Mama yako ni nani?[emoji12]
 
Huhuuuuuu twin wewe umeanza kuzaliwa,mie March ndio naiona dunia
Hahahaaaaa

Karibu mpendwa,mie na The bold wangu tunasema asante.

# TheBold's [emoji132]
 
Huhuuuuuu twin wewe umeanza kuzaliwa,mie March ndio naiona dunia
Hahahaaaaa

Karibu mpendwa,mie na The bold wangu tunasema asante.

# TheBold's [emoji132]
Haha basi tulizaliwa kwa mafungu, fungu la kwanza December, la pili March. Shukrani, msalimie shem darling
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Dota hii lugha nani laluandikia?
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Enzi hizo embe ananunua mmoja ila mnakula kundi zima, daaah!!
Na chumvi ya pilipili basi burudaaaani.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Enzi hizo embe ananunua mmoja ila mnakula kundi zima, daaah!!
Na chumvi ya pilipili basi burudaaaani.
Mmmh zile ice cream za vijiti sasa khaaa
 
Awwww!! Thats my.........kidogo nijisahau my baby dady.
Barikiwa.
Nipo..Andaa mazingira basi tukafanyie sherehe haka katoto
Nilishaandaa ni wewe tu sijui ulipotelea wapi[emoji134] [emoji134]
 
Kwa niaba ya familia Rogie tunapenda kukutakia kheri katika siku yako hii muhimu.Tunakuombea maisha marefu yenye baraka tele
Ila akifulia anarudi kwenye familia hiyo aloitaja.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mmmh una familia Mia tatu mama manyaunyau. Amen, nashukuru mpenzi wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…