Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,991
hbd
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dota Heaven Sent nikupongeze tena kwa kuongeza mwaka zaidi katika umri wako, ni jambo la kumshukuru Mungu.
Hivi kui anakula kuruka? Kama anakula basi umkaribishe pia, ila kama hali asije kututia hasara.
Nimekuandalia nguruka na ugali mkuuuubwa, na kapilipili kwa pembeni bila kusahau tunda lako pendwa mang'ongo, leo ni kuvimbiwa tu.
Kwani hapo mwisho ndio umeandika vinini?Heaven Sent sweetie Happy Birthday!
May God Bless you with a lot more of these..
Go shorty..it's your birthday!
We gonna party..it's your birthday!
We gonna sip..it's your birthday!
Hahaha embe ng'ongo. Umenikumbusha enzi zile nikitoka shule Mafiga huyoo nafikia pale sabasaba kanisa la Roma kwenye ng'ongo, viazi, mihogo etc. Nakula wee then madaftari yangu, kidumu na mfagio naacha hapo hapo , nikifika home ndo nakumbushwa tehDota Heaven Sent nikupongeze tena kwa kuongeza mwaka zaidi katika umri wako, ni jambo la kumshukuru Mungu.
Hivi kui anakula kuruka? Kama anakula basi umkaribishe pia, ila kama hali asije kututia hasara.
Nimekuandalia nguruka na ugali mkuuuubwa, na kapilipili kwa pembeni bila kusahau tunda lako pendwa mang'ongo, leo ni kuvimbiwa tu.
BansenBurner birthday yake ni 23rd. Na kapotea kweliBansenBurner hongera kwako pia mpendwa, mwenye enzi akujaalie kila lililo jema katika maisha yako.
Kupatwa kwa "uzazi"Kaboom mzazi mwenzangu umepotelea wapi jamani, maana sio kwa kuadimika huko!! Usisahau tu kama kawaida yako.
Thanks much my dearHappy birthday
Ahsante sana mama angu wa kufikia. Wasalimie wadogo zangu. UbarikiweHappy birthday mtoto wangu wa kufikia.
I'm the Queen lol. [emoji126] [emoji126] [emoji123] [emoji123]Queens are born in December....HBD Heaven Sent mamaa wa maushauri JF....Mungu akuweke miaka mingi uzidi kukua katika hekima na akupe haja za moyo wako...[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Na UncleBen jamani sijui yuko wapiHuyo jamaa atakuwa kabadili ID aiseee
Kwanini mama?
Nahisi tu maana kapotea sana.
Na sasa hivi ID's mpya zipo kibao.
Galpal, yani leo Acha tu, shughuli yangu si unaijua eeh, nipo busyHeaven Sent sweetie Happy Birthday!
May God Bless you with a lot more of these..
Go shorty..it's your birthday!
We gonna party..it's your birthday!
We gonna sip..it's your birthday!
Thanks much mkuu
Msukuma kwa ugali khaaatoto hiyo tena, ongeza idadi tu, tena usisahau na chachandu. [emoji485]
Chachandu muhimu mama haiwezi kosekana, we andaa tumbo tu.
Thanks much darlinghappy birthday heaven sent
Chinekeee "at my age" [emoji39] [emoji39]. Keki kwenye kupasua mbaoWow you have reached the age where all compliments will be starting with 'at your age' [emoji4] Happy birthday my dear cake wapi?