Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Asipokubali itabidi tu mbaki wote, Hamna namnaBaba yako hawezi kukubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asipokubali itabidi tu mbaki wote, Hamna namnaBaba yako hawezi kukubali
Ahhaha ntakudunga dawa ya usingizi nikiwa naenda church. Ukiamka harusi kushneyHahahaaaaa sitaki kuamini!! Basi nitakuwa tu mgeni mualikwa maana kanti misi aisee, nitaruka hata ukuta!
Yani utaishia tu kuona video nilivyojishaua na ekotite teh. Pole in advanceThubutuuu yaani hata dawa itadunda siku hiyo
Happy birthday mkuuYap 23 masaa machache yamebaki" #Decemberbabies
Happy birthday mkuu
Huyo jamaa atakuwa kabadili ID aiseeeBansenBurner hongera kwako pia mpendwa, mwenye enzi akujaalie kila lililo jema katika maisha yako.
Nahisi tu maana kapotea sana.Kwanini mama?