Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Dota Heaven Sent nikupongeze tena kwa kuongeza mwaka zaidi katika umri wako, ni jambo la kumshukuru Mungu.
Hivi kui anakula kuruka? Kama anakula basi umkaribishe pia, ila kama hali asije kututia hasara.

Nimekuandalia nguruka na ugali mkuuuubwa, na kapilipili kwa pembeni bila kusahau tunda lako pendwa mang'ongo, leo ni kuvimbiwa tu.
 
Queens are born in December....HBD Heaven Sent mamaa wa maushauri JF....Mungu akuweke miaka mingi uzidi kukua katika hekima na akupe haja za moyo wako...[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Heaven Sent sweetie Happy Birthday!
May God Bless you with a lot more of these..

Go shorty..it's your birthday!
We gonna party..it's your birthday!
We gonna sip..it's your birthday!
 
Back
Top Bottom