Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

[emoji36][emoji36] Kuna mahali nilisoma sikumbuki ni wapi Madame B anasema Atoto alimuibia msela wake MO nani sijui

Sasa Kaboom wewe ni baby dad au ?
Yatakushinda na kukushindilia dogo!!!
Umetumwa????
 
Mwee mimi ni mjumbe tu sasa kosa langu nini hapo ? "Kukushindilia" ni neno gumu sana
Nimetumwa mie jini mwenzangu ?
Mjumbe wa nani? Nani kakutuma?
Unajua mwanaume kusutwa ni fedheha!!! Haya jichanganye.
 
Mjumbe wa nani? Nani kakutuma?
Unajua mwanaume kusutwa ni fedheha!!! Haya jichanganye.
Mama nimezaliwa hapo Ocean road ,nikakulia Kariakoo ,karibu tu njoo kabisa na bendi ,mmejifunga vibebwe mkisindikizwa na nyimbo za Issa Matona
 
Back
Top Bottom