Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Kesho wewe mingapi?Heri ya siku ya kuzaliwa Rais Magufuli. Uzidi kubarikiwa
Miaka yakimbia sana, nami kesho nasherekea pia.
Acha dhihaka kwa Mungu weweMungu ampe maisha marefu, amuongezee miaka hamsini zaidi. Love you Rais Magufuli.
Na ikimpendeza Baba YEHOVA atende apendaloMungu Ni Mwema Wakati Wote
Amen Man Of GodNa ikimpendeza Baba YEHOVA atende apendalo