Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,009
- 2,934
Yeah ni umri wa kustaafu na hata kupumzika mazima mbinguniHappy birthday mzee, ustaafu sasa 60 si ndio umri wa kustaafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah ni umri wa kustaafu na hata kupumzika mazima mbinguniHappy birthday mzee, ustaafu sasa 60 si ndio umri wa kustaafu
Acheni dhihaka kwa Mungu, Kweli huyu naye abarikiwe?Heri ya siku ya kuzaliwa Rais Magufuli. Uzidi kubarikiwa
Miaka yakimbia sana, nami kesho nasherekea pia.
Ni kweliKiwango chako cha upumbavu Ni kikubwa sana...
Asante nashukuru sana.Heri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa mzee baba,Mungu aendelee kukulinda katika afya njema,akulinde na wenye roho za husda.[emoji373][emoji373][emoji373][emoji374][emoji374].
Ahaaa wapi, acha kwanza tuboost na kikombe cha babu, hadi miaka 80 huko ndio itakuwa vizuri kung'atukaHappy birthday mzee, ustaafu sasa 60 si ndio umri wa kustaafu