Heri ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli

Heri ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli

Tunataka awarudishe watu aliowapoteza, akina Ben Saanane, Azory Gwanda and the rest!
Huyu Waziri aliyeshuka mashavu kwa kuongea uongo kasema atajibu report ya Amnesty na HRW mstari kwa mstari. Yetu macho.
 
Mkuu umeongea ukweli Mtupu kuhusu utekelezaji wa Rais magufuli bila kuweka upambe Wala uchama Safi Sana.. na huo ndo utabaki kuwa ukweli tu kuhusu huyu kidume Magufuli. Historia yake Inaendelea kuandikwa Katika kitabu Cha Marais Bora kuwahi kutokea Duniani.

Na Ukiona mtu anatukana kwenye huu Uzi Wako usihangaike naye Bali jua kabisa Sindano ya ukweli uliouandika imemuingia vizuri kabisa na ndo Maana ukweli ukawa mchungu kwake.

Taifa Kama Tanzania kwa Sasa linahitaji vijana Makin Kama nyie kwa tija ya wananchi na Wala siyo hawa wanasiasa uchwara. Safi Sana Mkuu kwa nondo zako adimu hizi, japo kwa upande wa pili hizi zinaweza kuwa Taarifa mbaya Sana kwao.
 
Hakuna jipya hapo yale yale sifa tu watu hawaoni unafuu wowote wa maisha mmeamua kusimama na waganga kuloga wananchi wapige wajitokeze kupiga kura
 
Back
Top Bottom