Heri ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli

Heri ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli

IMG-20191029-WA0002.jpg
Tanzania ni Yetu, na Rais ni wetu. Wana JF tunakutakia kila lililojema. Mungu aendelee kukuongoza na kukuangazia yaliyo mema uongoze nchi kwa manufaa ya watanzania wote.
 
[QUOTE=@"Boniphace Kichonge,
Hii sio habari ya kutuletea hapa, tuna mambo mengi sana msingi ya kujadili, nashauri upeleke kwenye korido za lumumba na facebook kule
 
Happiest Birthday to my President Dr. John Magufuli. Long live Daddy, Almighty God bless you always.
 
Back
Top Bottom