Mkuu umeongea ukweli Mtupu kuhusu utekelezaji wa Rais magufuli bila kuweka upambe Wala uchama Safi Sana.. na huo ndo utabaki kuwa ukweli tu kuhusu huyu kidume Magufuli. Historia yake Inaendelea kuandikwa Katika kitabu Cha Marais Bora kuwahi kutokea Duniani.
Na Ukiona mtu anatukana kwenye huu Uzi Wako usihangaike naye Bali jua kabisa Sindano ya ukweli uliouandika imemuingia vizuri kabisa na ndo Maana ukweli ukawa mchungu kwake.
Taifa Kama Tanzania kwa Sasa linahitaji vijana Makin Kama nyie kwa tija ya wananchi na Wala siyo hawa wanasiasa uchwara. Safi Sana Mkuu kwa nondo zako adimu hizi, japo kwa upande wa pili hizi zinaweza kuwa Taarifa mbaya Sana kwao.