Heri ya Siku ya Wanawake Duniani. Una zawadi kwa Wanawake uwapendao? Watumie hata salamu

I love you kenzy
 
Skylar heri ya siku ya Wanawake. Nimekumiss hadi nimekumislead
Asante bestie Bujibuji Simba Nyamaume hii siku ya wanawake haiwezi kukamilika bila nyie wanaume wa shoka, kwa hiyo nawapa kwanza pongezi maana ndio mnatufanya sisi tuwe wanawake na tusimame kwenye nafasi zetu

Hata mimi nimekumiss, hivi sikuhizi umehamia chimbo gani? Au bado una hang'over za limbwata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…