Heri ya Siku ya Wanawake Duniani. Una zawadi kwa Wanawake uwapendao? Watumie hata salamu

Heri ya Siku ya Wanawake Duniani. Una zawadi kwa Wanawake uwapendao? Watumie hata salamu

Leo nikuwapelekea moto tu💥💥 hakuna zawadi kubwa zaidi ya hapo kingine mungu aendelee kuwapa hela mishangazi yetu.
 
Kumbe leo ni siku Yao ndio mana wanaringa kuleta timu LUPASO 😂😂😂 . ME NLISHASEMA KUNA SIKU MTU ANAGOMA KUINGIA GROUND AISEE
Leo wana shughuli yao wanahofia vitenge walivyoshona vya sare watavivalia wapi wasipovivaa leo, wakikubali tu kuleta timu uwanjani tunawaharibia siku yao.
 
Leo ni siku yetu – Siku ya Wanawake! Ni siku ya kutafakari juu ya safari yetu, nguvu zetu, na mchango wetu kwa jamii. Wewe ni shujaa, mwenye bidii, na mwenye thamani kubwa. Changamoto unazopitia ni ushahidi wa uvumilivu na uwezo wako wa kushinda kila hali.


Heri ya Siku ya Wanawake!
Mshangazi dot com Depal
Joanah Saint Anne Carleen
Lamomy binti kiziwi Joannah
Na wengine wote muwe na siku njema vipenzi 😊😊😊
😘😘😘 Na kwako pia wifi yangu kipenzi.!!
 
Back
Top Bottom