toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Sawa leo ni siku yenu, ila Saa moja jion niwaone LUPASO KWA MKAPA, wanaume tunataka kuwatoa out...au nasema uwongo mkuu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa leo si siku Yao bwana basi jion tunataka kuwatoa out, waje kwa mkapa, lupaso wakakaa ndani ili kipi kitokee?Mkuu tupo njiani na bakora tunawafata wasituchezee lazima waje hata kwa mikwaju!!..😂
watakuja tu hakunaga mkate mgumu mbele ya chai..Sasa leo si siku Yao bwana basi jion tunataka kuwatoa out, waje kwa mkapa, lupaso wakakaa ndani ili kipi kitokee?
Hili la kuunganishiwa nyuzi leo limenikuta, nimeboeka 😡 Mbona hizi nyuzi ya mipira wanaandika yale yale na hawaunganishiwi?Nawatakia wanawake wenzangu heri ya siku ya wanawake duniani. Tuna mengi ya kujivunia sisi kama akina mama, dada, wake, watumishi, wafanyabiashara, wanajamii na nguzo muhimu ya familia.
Binafsi najivunia kuwa mwanamke anayetengeneza kizazi bora kijacho kama mama, najivunia pia kuwa sehemu ndogo ya kuwasogeza wanawake wengine mbele kitaaluma.
Najivunia wanawake wa nguvu niliowafahamu humu JF ambao wanawakilisha sauti na maoni ya wanawake kwenye mijadala na majukwaa mbalimbali 👇.
- Heri ya siku hii kwa wanawake wote wanaothubutu kufanya mambo magumu kwenye familia, kazi na biashara zao bila kukata tamaa.
- Heri pia, kwa wanawake wote wanaotengeneza mijadala kwenye majukwaa inayotufunza na kutufurahisha.
nakwede97 ⋆ Aaliyyah * Mallerina
Leejay49 ⋆ Atoto * Demi
Sister Abigail ⋆ Ms R * Cute Wife
realMamy ⋆ Qashy Lilith⋆ To yeye
Msweet ⋆ Chujio
cocochanel * Anastasia21
ledada ⋆ Carleen
Numbisa ⋆ Mama Mwana * Hornet
SweetyCandy ⋆ Ellerie Bexley
ephen_ ⋆ Donatila * Lamomy
Jackcharty * Kelsea * Braying * Evelyn Salt
View attachment 3263290
Babes, mapenzi tele kwako 💕 💕 💕 💕Happy woman day mtoa mada I love you so much ♥️♥️
😂😂😂 NomadixHeri ya siku yenu pendwa nyote mlio na vulvas
Usijidanganye kubeba mimba ya mwanaume ndio atakuoa, maana kuna chama chetu pendwa kataa ndoa.
Mkiwezeshwa mnaweza sasa imefika muda wa kujiwezesha wenyewe miseleleko imetosha.
Mnaua viumbe mkumbuke hakuna marefu yasiyo na ncha, ncha ni kali inakata.
Dedication song:
Zuchu - Napambana
Dedication movie:
BINTI
Cc: Qashy Lilith
I miss you
realMamy
Huu mwaka ni wa kuforce lazima wakuite boss
Your excellence Hon. Mallerina
Ugombee sasa upate hata viti maalum
Mshangazi dot com
Mpwa wako nasemaje naseeemaje nakukubali Jamvi lenu lizidi kusonga lakini kataa ndoa inadunda tu.
Madame B hatimae nimekuona ulikuwa mrembo enzi zako be blessed.
Kuna comment uliandika hapo juu ukamention wadada wengi pamoja na mimi kuwatakia kheri ya sikukuu ya wanawake. Nimejaribu kuiquote mara ikapote, sijui what happened.Hili la kuunganishiwa nyuzi leo limenikuta, nimeboeka 😡 Mbona hizi nyuzi ya mipira wanaandika yale yale na hawaunganishiwi?
Mimi namtumia salamu mdogo wangu wa nguvu Mallerina your future is bright, keep going!Wakuu!
Heri ya Siku yenu Wanawake wote wa hapa JF, nyie ni wa muhimu sana, tunawapenda❤️❤️❤️
Leo ni siku ya kusherehekea wanawake wote na yale wanayotufanyia kila siku kwa nguvu, upendo, na kujitolea.
Kutoka kwa mama, dada, binti, hadi marafiki wanawake ni nguzo muhimu katika maisha yetu.
Dhima ya Maadhimisho ya Mwaka huu duniani ni "Accelerate Action".
Siku ya Wanawake 2025 ni zaidi ya sherehe, ni hatua ya kuongeza kasi za Ukombozi na kumwezesha Mwanamke
Dhima hii inatufundisha kuwa, sasa ndiyo wakati wa kuongeza nguvu na kuchukua hatua za haraka kuleta mabadiliko. Hatuwezi kubaki nyuma tena, tuwawezeshe Wanawake kupata nafasi za uongozi, biashara, na ajira kwa usawa
Sasa tuwasherehekeaje?
Piga simu za salamu na Pongezi, tuma zawadi (hela ni muhimu🤣) mpostiane jamani na jumbe nzuri za kutiana moyo, msaidiane kupika leo na shughuli za nyumbani na mtoke out.... lunch au dinner (mtaamua wenyewe 😌💁🏾♀️)
Leo muwe wapole huko nyumbani🤣 ukali uendelee kesho
Mimi nimemaliza, ongeza njia nyingine ya kusherekea uliyo nayo
Karibuni
Happy women's day mami, ile nimeifuta, ilikuwa nyuzi ila wakaiunga huku 😔Kuna comment uliandika hapo juu ukamention wadada wengi pamoja na mimi kuwatakia kheri ya sikukuu ya wanawake. Nimejaribu kuiquote mara ikapote, sijui what happened.
Happy women's day mshangazi wa jf!
Hahaha kwaio bila makeup sahivi hutoboi.Nomadix
Tatizo nyie mnakataa mimba kishenzi siku hizi.
Na hivo mna huo umoja wenu unawatia uchizi balaa.
Mwanamke kupenda mseleleko ipo tangu kale.
Unadhani mngekuwa mnaishi peke yenu ingekuwaje?
Mie mrembo mpaka sasa, sema ile juzi nilitoka kuamka, sura yangu yenye make up niliiacha kwenye mto pale hotelini.
Oh sawaaHappy women's day mami, ile nimeifuta, ilikuwa nyuzi ila wakaiunga huku 😔
Nimeandika tena hapa JAMVI LA WANAWAKE: Hasa siku ya leo, unajivunia nini kama mwanamke?