Heri ya Siku ya Wanawake Duniani. Una zawadi kwa Wanawake uwapendao? Watumie hata salamu

Leo ni siku yetu – Siku ya Wanawake! Ni siku ya kutafakari juu ya safari yetu, nguvu zetu, na mchango wetu kwa jamii. Wewe ni shujaa, mwenye bidii, na mwenye thamani kubwa. Changamoto unazopitia ni ushahidi wa uvumilivu na uwezo wako wa kushinda kila hali.

Heri ya Siku ya Wanawake!
Mshangazi dot com Depal
Joanah Saint Anne Carleen
Lamomy binti kiziwi Joannah
Na wengine wote muwe na siku njema vipenzi 😊😊😊
 
Hahaha kwaio bila makeup sahivi hutoboi.

Chama kipo hadi hapo utapeli utakapothibitika kukoma.
Zamani ATCL walikuwa hawataki makeup na surgery, naona sahv wanapaka tu na wanafanya.
Bahati niliacha, ila huku nilipo sasa, bila make up hutoboi😓😓
Au mnataka tutishe abiria mpaka marubani?

Halafu wala sio utapeli, kwani mnashikiwaga kisu kutoa pesa au kuoa?
Si mnatoa kwa hiari?
Na bado!!!
Ndio kwanza 8 March, mpaka ifike 31 December mko nyang'anyang'a kwa kuwatapeli.
 
Zamani ATCL walikuwa hawataki makeup na surgery, naona sahv wanapaka tu na wanafanya.
Bahati niliacha, ila huku nilipo sasa, bila make up hutoboi
Au mnataka tutishe abiria mpaka marubani?

Halafu wala sio utapeli, kwani mnashikiwaga kisu kutoa pesa au kuoa?
Si mnatoa kwa hiari?
Na bado!!!
Ndio kwanza 8 March, mpaka ifike 31 December mko nyang'anyang'a kwa kuwatapeli.
Hahaha aya bana siwawezi na make up zenu, uwe na siku njema kama unapenda movies angalia 2037(Korean) ila ujiandae kulia.
 
Sawa, nawe nikutakie maandalizi mema ya kujiandaa na Derby (kama bado ipo)
Hapa naangalia A wolf Man -2025
 
Heri ya siku yenu pendwa nyote mlio na vulvas

Usijidanganye kubeba mimba ya mwanaume ndio atakuoa, maana kuna chama chetu pendwa kataa ndoa.

Mkiwezeshwa mnaweza sasa imefika muda wa kujiwezesha wenyewe miseleleko imetosha.

Mnaua viumbe mkumbuke hakuna marefu yasiyo na ncha, ncha ni kali inakata.

Dedication song:
Zuchu - Napambana

Dedication movie:
BINTI

Cc: Qashy Lilith
I miss you

realMamy
Huu mwaka ni wa kuforce lazima wakuite boss

Your excellence Hon. Mallerina
Ugombee sasa upate hata viti maalum

Mshangazi dot com
Mpwa wako nasemaje naseeemaje nakukubali Jamvi lenu lizidi kusonga lakini kataa ndoa inadunda tu.

Madame B hatimae nimekuona ulikuwa mrembo enzi zako be blessed.
Her majesty Mallerina😍
 
Thank you
 
Leo ni siku yetu – Siku ya Wanawake! Ni siku ya kutafakari juu ya safari yetu, nguvu zetu, na mchango wetu kwa jamii. Wewe ni shujaa, mwenye bidii, na mwenye thamani kubwa. Changamoto unazopitia ni ushahidi wa uvumilivu na uwezo wako wa kushinda kila hali.

Heri ya Siku ya Wanawake!
Mshangazi dot com Depal
Joanah Saint Anne Carleen
Lamomy binti kiziwi Joannah
Na wengine wote muwe na siku njema vipenzi 😊😊😊
Thank you dearest Sophy
Happy women's day to all women out there
Sisi ni jeshi kubwa.
 
Aaliyyah Shuqraan sana kipenzi changu, unajua namna Mimi na wewe tulivyokutana sivyo..??
tusingekuwa na hekima leo tusingekuwa hapa..!!
Nakupenda cha upole wangu..!!❤️❤️
 
Back
Top Bottom