Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Ataua timu kima huyuMbona bado mapema
Jamaa anajikuta yeye anajua kila kitu hasikii maoni ya watu kabisa.Hehe! Yanga yangu ililewa sifa!.
Alipoanza kujiingiza kwenye siasa tu akapoteza focus!Jamaa anajikuta yeye anajua kila kitu hasikii maoni ya watu kabisa.
πππ mkuu Yanga ina bonge la kocha nahata wachezaji wenu wako vizur hasa yule mliyemuiba kwenye kambi kule zenji vumilieni gari itachanganya tu mwendoHuyu jamaa sio kocha, mara 100 mumtafute hata Mwambusi au Boniface Mkwasa kuliko huyu bwege.
Hizo ni laana za Gamondi kwako Hersi Said kwa kumkosea heshima.
Timu ikiendelea hivi makombe yote tunapoteza kmmk.
Yanga bingwaHuyu jamaa sio kocha, mara 100 mumtafute hata Mwambusi au Boniface Mkwasa kuliko huyu bwege.
Hizo ni laana za Gamondi kwako Hersi Said kwa kumkosea heshima.
Timu ikiendelea hivi makombe yote tunapoteza kmmk.
Hilo la usajili wa hovyo ndio msingi wa kila kitu..hata aje kocha wa viwango lakini wachezaji wabaya..hawezi kufanya maajabuHuyu jamaa sio kocha, mara 100 mumtafute hata Mwambusi au Boniface Mkwasa kuliko huyu bwege.
Hizo ni laana za Gamondi kwako Hersi Said kwa kumkosea heshima.
Timu ikiendelea hivi makombe yote tunapoteza kmmk.