Hakuna shida....Huyu jamaa sio kocha, mara 100 mumtafute hata Mwambusi au Boniface Mkwasa kuliko huyu bwege.
Hizo ni laana za Gamondi kwako Hersi Said kwa kumkosea heshima.
Timu ikiendelea hivi makombe yote tunapoteza kmmk.
Turudi bongo mkuu Hao PSG BAYERN wana Mada zaoKwenye mpira kupoteza nyakati nzuri ni jambo la kawaida
Bayern Munich alipoteza akachukua Leverkusen
PSG alipoteza akachukua Monaco
KabisaAlipoanza kujiingiza kwenye siasa tu akapoteza focus!
Watu watalaumu bure makocha wakati injinia saiv analeta wachezaji ambao hawana qualityHilo la usajili wa hovyo ndio msingi wa kila kitu..hata aje kocha wa viwango lakini wachezaji wabaya..hawezi kufanya maajabu
Si amemrudisha kutimu mume wa Hamisa Mobeto? Mfungaji bora wa muda wote wa Yanga.Watu watalaumu bure makocha wakati injinia saiv analeta wachezaji ambao hawana quality
Mimavi kwenye pichu π€£π€£π€£π€£ back cooking spoonMbona bado mapema
Anajifanya ana akili kuliko Yanga wote yule jamaaSi amemrudisha kutimu mume wa Hamisa Mobeto? Mfungaji bora wa muda wote wa Yanga.
Wana Yanga tupo pamoja na kocha la boli....Huyu jamaa sio kocha, mara 100 mumtafute hata Mwambusi au Boniface Mkwasa kuliko huyu bwege.
Hizo ni laana za Gamondi kwako Hersi Said kwa kumkosea heshima.
Timu ikiendelea hivi makombe yote tunapoteza kmmk
Mkuu usimseme huyo,mashabiki wake watakubonda manake sio kwa vyenye alivyowabrainwash wanavyomkubali,wanaamini hakosei yupo sahihi kwa kila kitu
Turudi bongo mkuu Hao PSG BAYERN wana Mada zao
Mbona ameanza kitambo kama hawezi kumanage vyote asepeInjinia kafokasi kwenye biashara yake ya kuuza mafuta kwa sasa.
Hahahahaha haya ndo mambo nayopenda apitie mtani utoπππ mkuu Yanga ina bonge la kocha nahata wachezaji wenu wako vizur hasa yule mliyemuiba kwenye kambi kule zenji vumilieni gari itachanganya tu mwendo
Hapo umeongea sahihiHuwezi kuwa BINGWA misimu yote
laZima anguko litokee
Kumbuka na wapinzani nao hawalali
Kocha yule ni baba doumbiaWana Yanga tupo pamoja na kocha la boli....
Hata kama yanga imeshuka kiwango ila si kwa uwanja ule, uwanja mbovu hauruhusu mchezaji kuonesha ufundi, hata makolo hawana uwezo wa kucheza mpira mzuri kwenye uwanja ule.Mimi ni shabiki wa Yanga na pia nina taaluma ya ukocha. Kwa mtazamo wangu kuna shida ndani ya kikosi cha wananchi. Kwa ufupi fighting spirit ya wachezaji imeshuka sana. Shida ni nini? Mimi sijui.
Kocha naye nikimuangalia namuona haeleweki! Timu ina wachezaji wengi wazuri. Ila namna ya kuwatumia ili kupata matokeo ndiyo haelewi. Kuna wakati hata sub zake watu walizilalamikia kwa kukosa tija.
Kwa upande wa simba wanajivunia kocha wao Steve Barker. Jamaa ameibadilisha timu kiasi cha mashabiki kupunguza zile kelele zao za miaka yote za kumkataa Mangungu.