GE2025 Hersi atemwa tena ubunge Kongwa, 13 wapita

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wanamkataa ila anajifanya haielewi...watamwaga hadharani mambo yake...atakuwa si raia wa nchi hii wanamsitiri haielewi. Alafu taasisi zao mara nyingi zinafanya biashara za magendo sana...huwezi jua wanataka kumnusuru yeye anaruka ruka ka churaa😃
 
Hersi ni wa kongwa au mkazi wa kongwq au INEC inamtambua
 
Tangiapo ni msomali
 
Kuna mawaziri pale wanahofia kibarua chao hersi ni msomi injinia kwaio ungekaa bungeni kidogo tu na kuteuliwa kuwa waziri
 
Kwa hili idara inapaswa kupongezwa, maana isipokuwa macho, tutajikuta Tz tuko mikononi mwa wageni.

Sijui idara huwa wanakwama wapi wakati mwingine?

Binafsi naomba waendelee kupekua hata wale waliosemwa na Mkuu wa Majeshi kwamba wamepewa nafasi nyeti, wote waondolewe.

Hatutaki kuongozwa na Wanyarwanda, Wasomali, Warundi, Wacongoman, Waoman, Waarabu, Wahindi n.k.

Bora hata Wakenya maana pamoja na changamoto za hapa na pale, wao huwa hawana mambo mengi. Japo mmoja alituharibia mfumo wetu wa elimu
😊😊😊😊
 
Alifikiri mln 100 za yanga ccm wangetumia goli la mkono kumpitisha
 
Kiongozi wetu hajui kuwa anatakiwa ajiuzutu urais wa Yanga ndio achukue fomu? Anashindwa kujua hili jambo dogo tu?
 
Wajinga nyie, aligombeaje Kigamboni na Kongwa....mnavumisha tu uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…