GE2025 Hersi atemwa tena ubunge Kongwa, 13 wapita

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wameona itakuwa kelele zaidi , that's politics,
Wanakwambia nafasi hazijaagi CCM atapewa mnofu bahari ikitulia.
 
Kuna mawaziri pale wanahofia kibarua chao hersi ni msomi injinia kwaio ungekaa bungeni kidogo tu na kuteuliwa kuwa waziri
Mbona bungeni wapo wasomi mainjinia wengi tu lakini hawajateuliwa uwaziri. Hersi hana jipya lolote la tofauti na hao waliopo
 
Naye anatapatapa bure tu! Mara akatoe hela yetu kusaidia chama bure kabisa
 
Kweli hapo utopolo wenye akili ni wawili tu
 
Kiongozi wetu hajui kuwa anatakiwa ajiuzutu urais wa Yanga ndio achukue fomu? Anashindwa kujua hili jambo dogo tu?
Kweli wenzake wote waliomtangulia walijiuzuru Uongozi kwenye Timu na kwenda kugombea UBunge mfano Aden Rage, Iman Madega
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…