DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Ahaaaa πππ hakika inaonekana amechoka Kulipwa ujira mdogo huku watu kwa nje wakijua ana maisha Makubwa.Gharib ni Msoga Gang wasingeshindwa kumpa Jimbo huyo wameweza kumchinja February na kuchambia katiba ya Chama watashindwa Hilo.
Kumbe hizo fomu zenu hazina hata sehemu ya mgombea kusaini? Wala hakuna sehemu inayohitaji viambatanisho vya muwania nafasi?Sikia ndugu yangu jamaa wala hakuenda kuchukua fomu,watu wa kongwa wamemchukulia fomu na kujaza na kurudidha japo aliwaambia yeye hataki.
huko kongwa ndiko alizaliwa mama yake mzazi.tusimuonee bure hajaenda kuchukua fomu
Wanakula kibunda wanalala mbeleKujipendekeza kote wajumbe wanamfyeka tu
Ova
Atakuwa amedanganywa .kaka mkubwa unatosha usikte tamaa nenda kwa marehemu kule.Sijajua ni Mwenye Matatizo kichwani ama labda ni Tamaa ya Asili, lakini jambo hili haliwezi kupita bila kujadiliwa.
View attachment 3442285View attachment 3442287
... na kuhuzunisha pia.Inasikitisha sana
Eti RuvumaIvi uyu ni mtu wa wapi?
Kwa Marehemu Nako Wanampiga Na Pesa KatoaAtakuwa amedanganywa .kaka mkubwa unatosha usikte tamaa nenda kwa marehemu kule.
nandhani ni ujinga na kukurupuka
Wakula Pesa Yake Tu Kama TutusaKujipendekeza kote wajumbe wanamfyeka tu
Ova
Elimu Ni Ujuzi Siyo ChetiUkiacha tamaa nadhani huyu mtu hata common sense hana