Hersi Said usirudie kufanya exclusive interview, haupo smart

maelezo kuhusu manara mbona yamenyooka mkuu,,injinia kasema kwamba Kwa sasa Haji ni mwanachama wa kawaida tunamtafutia nafasi itakayo mfaa. kwa maana kwamba kwasasa hana cheo chochote so ni mwanachama wa kawaida tu!
Alitakiwa ajibu ki GT. Unaweka na kakingereza kidogo "You know Manara this that well" halafu unakunywa maji kidogo kisha unasmile unasema next question please?

Ukweli ni kwamba alijibu sahihi kabisa, Haji ni mwanachama wa kawaida tu.
 
Namfahamu Engineer Said Hersi alikuwa ni shabiki lialia wa Simba alipokuwa akisoma.Amemuoa binti wa Dr.Guled wa Arusha.

Sio mzungumzaji mzuri lakini ni a doer. Ni mtendaji zaidi.

Hana majivuno ila maswali yalimtoa relini akapanic.
 
Hii paragraph imeonesha wewe Ni mtu wa Aina gani.

Kwa mentality hii sidhani kama unaweza kuwa na mawazo sawa na watu wengi wa kariba ya Hersi. Lazima mmepishana mitazamo kwa mbali sana
 
Namfahamu Engineer Said Hersi alikuwa ni shabiki lialia wa Simba alipokuwa akisoma.Amemuoa binti wa Dr.Guled wa Arusha.
Sio mzungumzaji mzuri lakini ni a doer.Ni mtendaji zaidi.
Hana majivuno ila maswali yalimtoa relini akapanic.
Na mimi namtazama kwa mtazamo huo mchapakazi ila sio mzungumzaji mzuri
 
Kwahiyo kuhusu swala la Manara,alitakiwa ajibu aje?
Alitakiwa apige siasa pale azunguke zunguke pale,sio kila swali linataka jibu sahihi,alijywa ba uwezi wa kukijibu bila kuleta sintofahamu,mimi na wewe hatukujua kuwa manara ni mwanachama wa kawaida,hiyo ingebaki siri ya ofisi tu
 
hata wee mleta Uzi upstair naona hamna kitu.

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
maelezo kuhusu manara mbona yamenyooka mkuu,,injinia kasema kwamba Kwa sasa Haji ni mwanachama wa kawaida tunamtafutia nafasi itakayo mfaa. kwa maana kwamba kwasasa hana cheo chochote so ni mwanachama wa kawaida tu!
Angeweza kusema kuwa ni mwenzao wako nae ila wanamtafutia post baada ya kutoka kifungoni TFF
 
Alitakiwa apige siasa pale azunguke zunguke pale,sio kila swali linataka jibu sahihi,alijywa ba uwezi wa kukijibu bila kuleta sintofahamu,mimi na wewe hatukujua kuwa manara ni mwanachama wa kawaida,hiyo ingebaki siri ya ofisi tu
Kwani hukuona kwenye mitandao watu wanauliza kati ya Manara na Ali Kamwe nani ni boss? Ilipelekea mpaka Ali Kamwe akajiuzuru,na watu hawakujua sababu ya kujiuzuru kwake,ilikua ni lazima awe na jibu la moja kwa moja,

Who is Manara mpaka Rais wa Club aogope kujibu hilo swali direct? Kwanza hata hiyo kusema kua Manara watamtafutia position nyingine,ilikua still ni heshima kubwa kwa Haji.
 
Umejitahidi kuwekeza kwenye majungu
 
Namfahamu Engineer Said Hersi alikuwa ni shabiki lialia wa Simba alipokuwa akisoma.Amemuoa binti wa Dr.Guled wa Arusha.

Sio mzungumzaji mzuri lakini ni a doer. Ni mtendaji zaidi.

Hana majivuno ila maswali yalimtoa relini akapanic.
Hersi hakuwahi kuwa simba,nilisoma nae a level,alikua five mie six
 
Fact.....
 
Hersi hakuwahi kuwa simba,nilisoma nae a level,alikua five mie six
Hersi hajasoma form 5 wala 6, tumesoma naye darasa moja engineering DIT, Ni mtu wa utani sana ila darasani ni very smart. Nakumbuka field ya second year wote tulikaguliwa na Dr. Benelith Mahenge ambaye baadaye alikuja kuwa kiongozi ktk nyazfa mbalimbali, Hersi Said ni Yanga lialia sana na shabiki la kutupwa la Liverkuku.

Alikuwa anacheza timu ya chuo namba 9 na mhamasishaji mzuri ktk michezo.

Kweli sio mtu wa kuongea jukwaani hilo nakubali, tulimaliza tarehe 15 July, 2005. Ni mtu wa karibu namfahamu.

Melo ni muongeaji ila hapendi kuongea on public, anajua sana kujenga hoja na kuelezea jambo kwa mtiririko.

All in all Haji anapenda spotlight, ni muongeaji mzuri ila at the end huaribu kwa kuchomeka yasiyohusu, na yeye na kitenge wana viherehere sana, in Magoma voice 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…