Hersi Said usirudie kufanya exclusive interview, haupo smart

Mbinu hii hii... iliwafanya makolo msimu uliopita muwaimbe Yanga msimu mzima na kusahau mipango yenu... Tunaitumia tena... Hadi akili iwakae sawa
 
Hersi aliingia form five ubungo islamic 2002,acha ubishi
 
Angeweza kusema kuwa ni mwenzao wako nae ila wanamtafutia post baada ya kutoka kifungoni TFF
unajua kama kulishatokea sintofahamu hapa kati baada a Haji kutoka kifungoni? Haji alikuwa anajinasibu kuwa yeye ni msemaji wa Yanga na tena alipokuwa kifungoni na mshahara wake umepanda maradufu je haukuwahi kusikia hyo kauli? kama Hersi kakosea basi kidole iko kingeanza kwa Haji ambaye baada ya kumaliza adhabu yake angekuwa mtulivu na kuuacha uongozi utoe tamko rasmi,Haji wakati wote ktk bio yake ya instagram amejitambulisha kama msemaji wa taasisi,sasa kuweka ukweli na kuwafanya wote wajue au kukipambapamba na maneno mengi alafu mwisho wa siku msemaji Kamwe ingebadilisha nini? Hersi hakukosea tena kaongea wazi kila mtu atambue isije ikaleta mkanganyiko uko mbeleni
 
kaka Haji ananamba ya wazee wa nguvu za giza waliokuwa Simba? Yanga haijapoteza Haji akiwa Yanga? Yanga hakuwahi kumfunga Simba haji akiwa Simba? Kaka Yanga hii mganga anakula tu pesa ya bure timu iko imara sana ktk maeneo mengi ya msingi na wala sio sababu ya Haji na huyo Dalali unampa nyota zote kisa ni Simba day? hivi kweli Dalali wakumlinganisha na Hersi? kuna jambo hautaki kuliweka wazi lakini sidhani kama ni ile interview tu.YANGA BINGWA!
 
Damu ni nzito kuliko maji Mkuu. Mtoa mada Haji Manara ni Class Mate wake.
 
Itabidi nikipata muda nikaangalie hiyo interview maana nilivyoona tu anasema hapati hata shilingi 100 pale Yanga nikajua hii interview nzima haina maana.

Nadhani kuchomekea kwamba Manara ni mwanachama hai alikuwa ana nia ya kumlindia heshima ndani ya Yanga zaidi ya kumdhalilisha maana angeishia kusema tu wanamtafutia kazi nyingine ingemuacha Manara sehemu mbaya zaidi. Kwa walipokuwa wamefikia na maneno ya mitandaoni, ilikuwa muhimu kulitolea ufafanuzi usio na shaka.

Kwa yeye kusema ndiye msemaji mkuu alinikumbusha Rais Magufuli kusema anatamani kuwa na madaraka ya Waziri wa Mambo ya Ndani wakati tayari ni Rais.
 
Asingetamka kuwa Haji ji mwanachama dunia ingejua kuwa Haji ni staff wa Yanga ambaye anasubiri jupangiwa majukumu,ika kusema ni mwanachama tu,amemvunjia heshima,
Hata kauli yake kuwaYanga haimlipi hata 100 imefanya kauli ya Mzee Magoma iwe na mashiko,kuwa yeye ni pandikizi la GSM,kiproffessional alitakiwa kujiuzulu GSM nakuwa neutral il kuepuka conflict of interest
 
Alitakiwa apige siasa pale azunguke zunguke pale,sio kila swali linataka jibu sahihi,alijywa ba uwezi wa kukijibu bila kuleta sintofahamu,mimi na wewe hatukujua kuwa manara ni mwanachama wa kawaida,hiyo ingebaki siri ya ofisi tu
Haaaa....huu ndo uswahili wenyewe sasa..yaani ulitaka afurahishe genge, apoteze muda wa watu na kutomaliza sintofahamu.Yule sio kiongozi wa kisiasa - Na pia ulitaka ajibu kulingana na unavyotamani wewe..kumbuka yale maswali sio 1+1=2 kwamba kila mtu ajibu sawa...
Jamaa acha apige kazi - Yanga wanahitaji mtendaji sio muongeaji tu...au kama vipi wampe Manara ili aongee vizuri
 
Wewe tu ulipoanza na kamati ya ufundi basi nimejuwa wewe mtu wa aina gani, unataka kutuaminisha waganga aliwaleta Hajji ndio wanaleta ushindi sasa kama hiyo ndio sababu kuu sasa ya nini kuajiri jopo na makocha, wachezaji wa gharama kubwa si wangekuwa wanasubiri mganga awape dawa wapange team wenyewe team itashinda tu. Hajji yeye ndio alitaka kuwadhalilisha wenzake, wewe hujakaribishwa rasmi na team unaenda kuita press "King is back" ni sawa na mtu hujaalikwa harusi umeshaenda kushona suti.
 
Kuna sehemu nimesema wagangaau kamati ya ufundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…