Hersi Said usirudie kufanya exclusive interview, haupo smart

"Haji ana namba za wazee wa kamati ya ufundi ya nje ya uwanja iliyokuwa ikitumiwa na Simba, anefanikiwa kuhihamishia Yanga na ndio inayoleta makombe Jangwani" Nukuu yako una maanisha nini hapa?
Hapo usichoelewa ni nini.?
 
"Haji ana namba za wazee wa kamati ya ufundi ya nje ya uwanja iliyokuwa ikitumiwa na Simba, anefanikiwa kuhihamishia Yanga na ndio inayoleta makombe Jangwani" Nukuu yako una maanisha nini hapa?
Mbinu zote za ushindi nje ya uwanja,kama na hiyo inadondokea humo sawa
 
Kichwa cha habari na content haviko sawa. Sijaona tatizo. Kuhusu kulipwa, mihemko yako ndiyo inakufanya usikumbuke swali. Aliulizwa Yanga unalipwa mshahara kiasi gani? Akajibu silipwi hata sh 100. Wewe unataka kuimanisha kupata hela badala ya suala la msingi ambalo ni mshahara. Wakati mwingine acha mihemko kwa timu pinzani, huo si utani ila ni ukilaza.
 
Sio kila swali lina jibu,kwani huyo oscar au kitenge wangeulizwa wanalipwa kiasi gani wangetaja kiasi?kuna mazingira fulani mshahara ni siri kati ya employer na employee,
Sio kila swali la waandishi unalijibu straight,pifa siasa zunguka zunguka,unadhani angekuwa tayari kutaja mshahara wake pale GSM?
 
. Kusema Haji Manara ni mwanachama wa kawaida? Hii ni statement ya layman katika uongozi, simkubali sana Haji Manara japo ni classmate wangu Mnazi Mmoja Primary ila haikuwa sahihi kumdhalikisha mtu aliyeiba faili la ushindi wa Simba.
Fafanua hapa ameiba faili la ushindi wa Simba kivipi mkuu?
Haji ana namba za wazee wa kamati ya ufundi ya nje ya uwanja iliyokuwa ikitumiwa na Simba, anefanikiwa kuhihamishia Yanga na ndio inayoleta makombe Jangwani
Hapa unamaanisha Yanga inashinda Kutokana na Haji kuwa na namba za wazee wa kamati za ufundi? Nifafanulie kabla sijafafanua kuwa hizi kamati ni kamati za kuloga ili ushindi upatikane.

GT unaamini kwenye uchawi?
Kusema Haji Manara ni mwanachama wa kawaida? Hii ni statement ya layman katika uongozi, simkubali sana Haji Manara japo ni classmate wangu Mnazi Mmoja Primary ila haikuwa sahihi kumdhalikisha mtu aliyeiba faili la ushindi wa Simba.
Mkuu wa idara ya habari ni Ally Kamwe ulitaka atambuliwe kwa cheo gani pale jangwani tofauti ya mwanachama ambaye anakadi kama nilivyokuwa nayo Mimi?

Naona Hersi yupo sahihi hakung'ata maneno nyeupe iwe nyeupe na nyeusi iwe nyeusi, kumbuka tulikuwa tunahoji humu wakuu wa idara ya habari wapo wangapi? Na sasa tumepewa majibu tunahoji tena.
 
Zaidi ya mwaka niliwahi kusema humu ndani Manara hatapewa nafasi tena katika mpira wetu hata kifungo chake kikiisha.

Sintofahamu ilikuwa kubwa sana, nadhani Hersi alilazimika kuiaddress directly bila kumung'unya maneno ili asilazimike tena kuliongelea hilo suala. Inawezekana ile interview ilikuwa zaidi kutoa ufafanuzi huo ila masuala mengine ilikuwa kujazia tu ili isionekane ni suala linalowaumiza sana kichwa.

Hata Manara siyo mjinga, na yeye alama za nyakati alishazisoma, ile press na kampeni yake ya Return of the King ilikuwa kama kupush back maana anajua na Yanga wakimtenga ndiyo basi tena atabaki tu na twiga wake.
 
Umedadavua vema
 
Nijuavyo haji alisoma primary mnazi moja baadae kibaha sec then mzumbe high.,baada ya hapo ungaunga mwana
Apewe pongezi,tuliomaliza mnazi mmoja miaka ile ya early90,Ni wachache sana tuliofika ngazi ya vyuo,uhuni uhuni wa kariakoo haukutuacha salama,unga,bangi,nk
 
Nilidhani uzi umeletwa na matured comrade mwenye upeo wa juu wa kutafakari na kuchanganua mambo, kumbe alas...ni hata mwenye D moja hawezi kuwa na ufinyo wa mtazamo na uchanganuzi kama huu.
Anachojaribu kukifanya ni kujaribu kufitinisha viongozi wa Yanga wakati huu ambao hata chongo anashuhudia mafanikio yanayoletwa na safu ya uongozi wa sasa.

Eng. ni smart katika kutambua maswali ya mtego na amekuwa elequent katika kuyajibu ipasavyo kwa kiswahili hata king'eng'e, kiasi cha kuwaridhisha wanaomuuliza maswali, sasa kama kapuku wewe unakwazika na majibu yake kwa vile hayakidhi matamanio yako , waungwana tunasema 'kalagabaho'.
Msimu wa maumivu mengine ndio kwanza umeanza.
 
Mimi binafsi naona Hersi ajikite kwenye utendaji,hukujuongea anaoelea sana,nikama Eddo kumwembe,nimzurijuabdika ikakuongea ni zero.introvent hao
 
Sasa ulitaka useme Manara ndo mwenyekiti wa kamati za wachawi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…