Good msoka
Senior Member
- Dec 19, 2013
- 198
- 23
Ukisikia upuuzi basi ndo huu. Hv kuna mtu kweli jina lake linaanza na q?
Qwaiser
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisikia upuuzi basi ndo huu. Hv kuna mtu kweli jina lake linaanza na q?
Huwa siamini katika Ushirikina wala Nyota.
J- anapenda ngono=Jakaya
K- m'bishi=Kikwete
Mengine yanaelekea kufit kasoro la utapeli na kutoaminika.mie naaminika sana tu.Tabia zao ni hizi hapa....
Wengi ni wapole na wanaaminika na jamii, wanaongea kwa ustarabu sana, wanamipango mingi mno ambayo mingine haitekelezeki, wengine wana asili ya utapeli maana wakiaminiwa huwa hawaaminiki. Hawana msimamo kila atakalo shauriwa ni rahisi kulifuata na akaacha alilolipanga.
Kama huamini suala la utapeli au ujanja ujanja nahakika katika thread hii hapata kosekana angalau watu watatu ambao wameingizwa mjini na watu hawa, tabia nyingine ni watu wa matumizi sana ya fedha kuwa na milioni mchana afu jioni akawa hana kitu ni jambo la kawaida... lakini sifa ingine kwao ni majasiri na wanajiamini kupita kiasi, hawaogopi vitu kirahisi.
Pia pamoja na ujanja ujanja wao na utapeli wa hapa na pale watu hawa wanahuruma sana ya kusaidia wenzao bila kujali yeye anaathirika vipi, kundi hili la herufi A, linafanana kidogo na herufi "M" kwa kuwa wana share nyota moja.
hahahaaaaa.....nyota yako ya moto na moto huteketeza hahahaaaaaaa.....hilo unalo hilo jiachie tu haina dawa hiyoduh sijawa kutapeli hila nishatapeliwa hila mengine hupo sahihi, hasawa la matumizi asee nipe dawa yake basi
Tabia zao ni hizi hapa....
Wengi ni wapole na wanaaminika na jamii, wanaongea kwa ustarabu sana, wanamipango mingi mno ambayo mingine haitekelezeki, wengine wana asili ya utapeli maana wakiaminiwa huwa hawaaminiki. Hawana msimamo kila atakalo shauriwa ni rahisi kulifuata na akaacha alilolipanga.
Kama huamini suala la utapeli au ujanja ujanja nahakika katika thread hii hapata kosekana angalau watu watatu ambao wameingizwa mjini na watu hawa, tabia nyingine ni watu wa matumizi sana ya fedha kuwa na milioni mchana afu jioni akawa hana kitu ni jambo la kawaida... lakini sifa ingine kwao ni majasiri na wanajiamini kupita kiasi, hawaogopi vitu kirahisi.
Pia pamoja na ujanja ujanja wao na utapeli wa hapa na pale watu hawa wanahuruma sana ya kusaidia wenzao bila kujali yeye anaathirika vipi, kundi hili la herufi A, linafanana kidogo na herufi "M" kwa kuwa wana share nyota moja.
Kuna connectiion gani kati ya herufi A ya jina la mtu na tabia zake?