Herufi ya mwanzo ya jina lako inabeba tabia yako

Attachments

  • 1410119617628.jpg
    1410119617628.jpg
    37.7 KB · Views: 618
google - mcha MUNGU
Helper- mchapa kazi hahahahahahahahahahahaha nice sana
google helper- Mcha Mungu ni Mchapa kazi
 
Yahya Hussein mtabiri wa kisiasa na msalama amefufuka.
 
Tabia zao ni hizi hapa....

Wengi ni wapole na wanaaminika na jamii, wanaongea kwa ustarabu sana, wanamipango mingi mno ambayo mingine haitekelezeki, wengine wana asili ya utapeli maana wakiaminiwa huwa hawaaminiki. Hawana msimamo kila atakalo shauriwa ni rahisi kulifuata na akaacha alilolipanga.

Kama huamini suala la utapeli au ujanja ujanja nahakika katika thread hii hapata kosekana angalau watu watatu ambao wameingizwa mjini na watu hawa, tabia nyingine ni watu wa matumizi sana ya fedha kuwa na milioni mchana afu jioni akawa hana kitu ni jambo la kawaida... lakini sifa ingine kwao ni majasiri na wanajiamini kupita kiasi, hawaogopi vitu kirahisi.

Pia pamoja na ujanja ujanja wao na utapeli wa hapa na pale watu hawa wanahuruma sana ya kusaidia wenzao bila kujali yeye anaathirika vipi, kundi hili la herufi A, linafanana kidogo na herufi "M" kwa kuwa wana share nyota moja.
 
Haya mapya huyu ali nnayemjua mm leo awe mtu wakutoa msaada bila kujifanyia concidaration mwenyewe
 
Tabia zao ni hizi hapa....

Wengi ni wapole na wanaaminika na jamii, wanaongea kwa ustarabu sana, wanamipango mingi mno ambayo mingine haitekelezeki, wengine wana asili ya utapeli maana wakiaminiwa huwa hawaaminiki. Hawana msimamo kila atakalo shauriwa ni rahisi kulifuata na akaacha alilolipanga.

Kama huamini suala la utapeli au ujanja ujanja nahakika katika thread hii hapata kosekana angalau watu watatu ambao wameingizwa mjini na watu hawa, tabia nyingine ni watu wa matumizi sana ya fedha kuwa na milioni mchana afu jioni akawa hana kitu ni jambo la kawaida... lakini sifa ingine kwao ni majasiri na wanajiamini kupita kiasi, hawaogopi vitu kirahisi.

Pia pamoja na ujanja ujanja wao na utapeli wa hapa na pale watu hawa wanahuruma sana ya kusaidia wenzao bila kujali yeye anaathirika vipi, kundi hili la herufi A, linafanana kidogo na herufi "M" kwa kuwa wana share nyota moja.
Mengine yanaelekea kufit kasoro la utapeli na kutoaminika.mie naaminika sana tu.
 
duh sijawa kutapeli hila nishatapeliwa hila mengine hupo sahihi, hasawa la matumizi asee nipe dawa yake basi
hahahaaaaa.....nyota yako ya moto na moto huteketeza hahahaaaaaaa.....hilo unalo hilo jiachie tu haina dawa hiyo
 
Agogwe?? kwangu huo utabiri umekwenda kushoto
 
RAMLI tena! unajuwa kazi ya nyota? kazi nyota ni pamba mbingu,kutoruhusu washirkhina na wachawi kujuwa cri za mwenyezi waendapo angani mfano vimondo vinapomove kutoka sehmu moja kwenda kwingne.nyingne amaliziye who understand.
 
Tabia zao ni hizi hapa....

Wengi ni wapole na wanaaminika na jamii, wanaongea kwa ustarabu sana, wanamipango mingi mno ambayo mingine haitekelezeki, wengine wana asili ya utapeli maana wakiaminiwa huwa hawaaminiki. Hawana msimamo kila atakalo shauriwa ni rahisi kulifuata na akaacha alilolipanga.

Kama huamini suala la utapeli au ujanja ujanja nahakika katika thread hii hapata kosekana angalau watu watatu ambao wameingizwa mjini na watu hawa, tabia nyingine ni watu wa matumizi sana ya fedha kuwa na milioni mchana afu jioni akawa hana kitu ni jambo la kawaida... lakini sifa ingine kwao ni majasiri na wanajiamini kupita kiasi, hawaogopi vitu kirahisi.

Pia pamoja na ujanja ujanja wao na utapeli wa hapa na pale watu hawa wanahuruma sana ya kusaidia wenzao bila kujali yeye anaathirika vipi, kundi hili la herufi A, linafanana kidogo na herufi "M" kwa kuwa wana share nyota moja.

Kuna connectiion gani kati ya herufi A ya jina la mtu na tabia zake?
 
Mkuu hizi kitu naona huwa hazina connection yoyote maana hao wanaojiita wataalam hawana uwezo Wa kutaja tabia moja kuu ya watu Wa kundi LA herufi Fulani...huwa wanaishia kutaja lundo la tabia ambalo wanauhakika kila mtu lazima kuna tabia itamgusa....all in all havina ukweli wowote.
 
Back
Top Bottom