Hesabu kufuzu: Nashauri wana Yanga watembee na Scientific Calculator

bwana ee kila mtu apambane kivyake na uzuri tupo mashndano tofauti. Kwa hiyo kila mtu anahesabu zake ktk mashndano yake. Nb mashindano makubwa,mashindano magumu,timu ngumu,kufuzu kwa mbinde, na mahesabu makali.
 
Hii hoja tayari washaisahau😀😄😆
Hahaha, Ndo namwambia mheshimiwa hapo, changamoto iliyopo ndo hiyo.

Unadhani kwanini mahesabu yanakuwa meengi ilihali mwanzoni ilikuwa ni kila mtu ashinde mechi zake? Ni Uwezekano wa kupata point 4 au 3 katika 6 zilizobaki ndo unaleta hizo hesabu.
 
hasibu la magazijuto na kipeuo limengurumaa mmmh grrrrr 🦁
 
Maneno haya si mageni hapa mjini, labda uwe umefika leo..!! Mlianza na HAFIKI KRISMAS, LAKINI YULEEE TUNAMUONA ANAITAFUTA PASAKA..!!!

CC Bantu Lady
 
Uzuri Nyuzi zako dhidi ya Yanga siku zote huwa zinakugeuka. Nina uhakika hata Simba wenzako watakuwa wanakulaumu huko Inbox kwamba kwa nini uzi huu umeufungua wewe kwanini usingempa mwingine?
 
Florent ibenge "Master tactician" anataka kuongoza kundi kwa pointi nyingi so huo mchezo na uto hawezi kulegeza uzi.

Kumbuka yanga hawatalinda na wala hawatakaa nyuma watafunguka na ibenge anapenda sana umshambulie wewe kuliko yeye akushambulie wewe.

Kumbuka uto akipigwa na ibenge imeisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…