Ni hesabu nyepesi tu labda kwa wale wasiojua mahesabu ndio wanahitaji calculator. AngaliaNaona mahesabu ya Yanga yanachanganya sana katika mchakato wa kuingia robo. Hesabu zinakuwa ngumu kwa sababu sio wewe tu ushindwe inabidi na mwingine ashindwe, mara hivi na vile. Mara inabidi MC Algers ifungwe na Mazembe lakini wasiifunge Yanga
Nashauri mashabiki watembee na Calculator, sio ile ya Mangi bali ni Scientific Calculator kwa sababu hesabu zao zinahitaji matumizi ya Calculalus na Magazijuto
Next week sio mbaliKesho na kesho kutwa tukija kujaa kwenye huu uzi usikimbie.
Kabisa yaani.Next week sio mbali
Huu uzi tunatakiwa tuulinde kwa gharama kubwa. Maana hakuna namna nyingine. Mwasibu CPA hajawahi kupatia linapokuja suala la kuisema Yanga na wachezaji wake.Tayari aibu nyingine ina mnyemelea mwasibu uchwara
Kalyukulyeta imetupa mafanikio..!!Naona mahesabu ya Yanga yanachanganya sana katika mchakato wa kuingia robo. Hesabu zinakuwa ngumu kwa sababu sio wewe tu ushindwe inabidi na mwingine ashindwe, mara hivi na vile. Mara inabidi MC Algers ifungwe na Mazembe lakini wasiifunge Yanga
Nashauri mashabiki watembee na Calculator, sio ile ya Mangi bali ni Scientific Calculator kwa sababu hesabu zao zinahitaji matumizi ya Calculalus na Magazijuto
Mwasibu CPA unaidharau calculator, na wakati inarahisisha muda wa kufanya mahesabu. Sasa subiri uone manufaa yake.Naona mahesabu ya Yanga yanachanganya sana katika mchakato wa kuingia robo. Hesabu zinakuwa ngumu kwa sababu sio wewe tu ushindwe inabidi na mwingine ashindwe, mara hivi na vile. Mara inabidi MC Algers ifungwe na Mazembe lakini wasiifunge Yanga
Nashauri mashabiki watembee na Calculator, sio ile ya Mangi bali ni Scientific Calculator kwa sababu hesabu zao zinahitaji matumizi ya Calculalus na Magazijuto
Tuulinde kama mboni ya jichoHuu uzi tunatakiwa tuulinde kwa gharama kubwa. Maana hakuna namna nyingine. Mwasibu CPA hajawahi kupatia linapokuja suala la kuisema Yanga na wachezaji wake.
Nimeidharau au nilishauri unitumie? Si unaona inawafaaMwasibu CPA unaidharau calculator, na wakati inarahisisha muda wa kufanya mahesabu. Sasa subiri uone manufaa yake.
Mkuu safi tushachukua Point 3 robo tunatingaLast game ni Yanga Vs MC Algiers Kwa Mkapa.
Hii Game Yanga anahitaj Zaid ya goal mbil atakiw ashafuzu.
Al hilal Vs Yanga. Hii game tunachukua point. 3
Muanze kunilipaHuu uzi tunatakiwa tuulinde kwa gharama kubwa. Maana hakuna namna nyingine. Mwasibu CPA hajawahi kupatia linapokuja suala la kuisema Yanga na wachezaji wake.
Usije ukajikuta mwendawazimu ni weweHesabu za utopolo ni za mwendawazimu
Ndugu yangu Tate Mkuu huyu Mwasibu feki CPA uchwara SUNZU BOBAN OKW ni wa kupuuzwa, hajui hata; Capital=Assets-Liabilities. Sasa yeye ni liability kwenye firm.Ndugu za Wananchi, huu uzi unatakiwa ulindwe kwa gharama kubwa. Imagine nimeutafuta sana ndiyo nikaukuta umetupwa huku jalalani, na Mwasibu wetu CPA kwa lengo la kupoteza ushahidi.
adriz, Ulimakafu na Mfufua Nyuzi, tafadhali muulinde huu uzi kwa matumizi ya sasa na ya baadaye. Nilimuonya mapema Mwasibu CPA, akapuuza.
Utopolo mna team yakumfunga mwarabu mbiliNext week sio mbali
Unazungumzia kitu gani bwanshee? Nakushauri uwe na data unapoandika kitu.Utopolo mna team yakumfunga mwarabu mbili
Huyu si aliwabandua kwa mkapa akachukua kombeNjoo kwa Ben ikiwezekana na four figure kabisa utaelewa anachofanywa MC ALGER
Mpira umeimgiliwà na wa Mama goli mbili za nini?Utopolo mna team yakumfunga mwarabu mbili