Hesabu za mmiliki wa SFG ni kali sana, wengi hamzioni ila mtaziona msimu ujao 2024/2025 kupitia IHEFU (Singida Black Stars)

Hiyo ni Azam ya Yanga. Hayuko peke yake, na mkwanja mkubwa siyo wake.
 
Alichokosea ni kwamba kwa Sheria za FIFA, HAIWEZEKANI mtu mmoja akamiliki timu zaidi ya Moja zinazoshiriki ligi moja.
Ihefu inamilikiwa na KAMPUNI YA KILIMO CHA MPUNGA

Hayo mengine ni ya kwako
 
Mkuu huyo mtu ni mzoefu hizo timu zake hazina malengo na mpira wa bongo hana cha kujifunza!
 
Hauko mbali na ukweli hasa hapo kwenye money laundering.
 
Haya sasa msimu umeanza moto unawashwa

Kuna FOUNTAIN GATE
NA SINGIDA BLACK STARS

Mafanikio tushaanza kuyaona

Wachambuzi mpo?
 
ALisha soma Watanzania ni wajinga sana na pia wanapenda sana Burudani, imesahau enzi za Bendi mbali mbali za muziki? wati wa awamu ya kikwete na Mkapa? Vigogi walikuwa wana milik Bendi ili kutakatisha pesa.

Hawa jamaa walisha wasoma Watanzania wakagundua wanapenda starehe hivyo ndio sehemu salama ya kufanyia maovu na usishtukiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…