OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
- Thread starter
- #21
Hujanielewa mkuu,Kwahyo Madelu siku hizi analima mpunga BoT?
Mmiliki kwenye karatasi ni kampuni ya kulima mpunga huko bonde la ihefu
Hayo uyasemayo ni ya kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujanielewa mkuu,Kwahyo Madelu siku hizi analima mpunga BoT?
Hiyo ni Azam ya Yanga. Hayuko peke yake, na mkwanja mkubwa siyo wake.Sema tu ninaungana na baadhi ya wadau wanaohisi kuna utakatishaji wa fedha unaofanywa na mmiliki wa hiyo timu.
Maana enzi hizo alipoondolewa tu kwenye nafasi ya Uwaziri, na timu yake ya wakati huo ilijifia kifo cha mende.
Siamini kama ni rahisi kiasi hicho kwa timu ya kawaida tu kama Ihefu/Singida Fountain Gate kusajili maproo wa kutosha tu kutoka nje, kwa kuwategemea wadhamini wa kuunga unga.
By the way, huu ni mtazamo wangu tu. Hivyo natoa tahadhari mapema kwa wale watoto wa miaka ya 2000.
Ihefu inamilikiwa na KAMPUNI YA KILIMO CHA MPUNGAAlichokosea ni kwamba kwa Sheria za FIFA, HAIWEZEKANI mtu mmoja akamiliki timu zaidi ya Moja zinazoshiriki ligi moja.
Huo ni mtazamo wakoHuo ni mtazamo wako unaheshimiwa lakini kwa bongo hakuna kitu nje ya simba na yanga kama mwekezaji azam anafeli huyo wa ihefu yupo hapo kuzinufaisha simba na yanga!
Mkuu huyo mtu ni mzoefu hizo timu zake hazina malengo na mpira wa bongo hana cha kujifunza!Anajifunzq mkuu,
Ndio maana nikaandika mwanzoni kuwa kuendesha timu ya mpira sio kazi nyepesi hata uwe na pesa koasi gani,
Eng Hersi alianzia maji maji FC akajifunza ndio akaja YANGA,
Hakuingia kichwa kichwa.
MO mwenyewe alianza na SPORTS LYON, ikamfia akaja SIMBA.
Mmiliki wa kiwanda cha JAMBO shinyanga na STAND UNITED, leo hii ipo wapi?
Kwa maoni yangu SFG mmiliki wake amejifunza yupo kwenye hatua nzuri,
Iangalie IHEFU inavyopoga mpira mwingi.
Kitayosce nayeye alisajili magarasa na anakaribia kushuka daraja.
Na atapotea mazima.
Ila kuna mnyakyusa anaitwa keneth mwenye KENGOLD yule anamalengo tusubiri msimu ujao
Timu mpya zinapata uhai kwa mgongo wa manispaa
Mkuu mada unaielewa lakini au umeivamia tu?Ihefu inamilikiwa na KAMPUNI YA KILIMO CHA MPUNGA
Hayo mengine ni ya kwako
Wewe ndio hujaelewa mada nzimaMkuu mada unaielewa lakini au umeivamia tu?
Ahahahahaha!!!!Wewe ndio hujaelewa mada nzima
Hauko mbali na ukweli hasa hapo kwenye money laundering.Sema tu ninaungana na baadhi ya wadau wanaohisi kuna utakatishaji wa fedha unaofanywa na mmiliki wa hiyo timu.
Maana enzi hizo alipoondolewa tu kwenye nafasi ya Uwaziri, na timu yake ya wakati huo ilijifia kifo cha mende.
Siamini kama ni rahisi kiasi hicho kwa timu ya kawaida tu kama Ihefu/Singida Fountain Gate kusajili maproo wa kutosha tu kutoka nje, kwa kuwategemea wadhamini wa kuunga unga.
By the way, huu ni mtazamo wangu tu. Hivyo natoa tahadhari mapema kwa wale watoto wa miaka ya 2000.
Anahitaji king'amuzi kuilewaWewe ndio hujaelewa mada nzima
Mkuu hauujui mpungaIhefu inamilikiwa na Kampuni ya ukulima wa mpunga.
Mpunga huu huu ninaoujua?[emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kabisa.Financial fair play bongo sidhani kama inafanya kazi
Mambo yapo moto
Mwanzoni hawakukuelewaHaya sasa msimu umeanza moto unawashwa
Kuna FOUNTAIN GATE
NA SINGIDA BLACK STARS
Mafanikio tushaanza kuyaona
Wachambuzi mpo?
ALisha soma Watanzania ni wajinga sana na pia wanapenda sana Burudani, imesahau enzi za Bendi mbali mbali za muziki? wati wa awamu ya kikwete na Mkapa? Vigogi walikuwa wana milik Bendi ili kutakatisha pesa.Sema tu ninaungana na baadhi ya wadau wanaohisi kuna utakatishaji wa fedha unaofanywa na mmiliki wa hiyo timu.