Hesabu za mmiliki wa SFG ni kali sana, wengi hamzioni ila mtaziona msimu ujao 2024/2025 kupitia IHEFU (Singida Black Stars)

Sema tu ninaungana na baadhi ya wadau wanaohisi kuna utakatishaji wa fedha unaofanywa na mmiliki wa hiyo timu.
Maana enzi hizo alipoondolewa tu kwenye nafasi ya Uwaziri, na timu yake ya wakati huo ilijifia kifo cha mende.

Siamini kama ni rahisi kiasi hicho kwa timu ya kawaida tu kama Ihefu/Singida Fountain Gate kusajili maproo wa kutosha tu kutoka nje, kwa kuwategemea wadhamini wa kuunga unga.

By the way, huu ni mtazamo wangu tu. Hivyo natoa tahadhari mapema kwa wale watoto wa miaka ya 2000.
Hiyo ni Azam ya Yanga. Hayuko peke yake, na mkwanja mkubwa siyo wake.
 
Alichokosea ni kwamba kwa Sheria za FIFA, HAIWEZEKANI mtu mmoja akamiliki timu zaidi ya Moja zinazoshiriki ligi moja.
Ihefu inamilikiwa na KAMPUNI YA KILIMO CHA MPUNGA

Hayo mengine ni ya kwako
 
Anajifunzq mkuu,

Ndio maana nikaandika mwanzoni kuwa kuendesha timu ya mpira sio kazi nyepesi hata uwe na pesa koasi gani,

Eng Hersi alianzia maji maji FC akajifunza ndio akaja YANGA,
Hakuingia kichwa kichwa.

MO mwenyewe alianza na SPORTS LYON, ikamfia akaja SIMBA.

Mmiliki wa kiwanda cha JAMBO shinyanga na STAND UNITED, leo hii ipo wapi?

Kwa maoni yangu SFG mmiliki wake amejifunza yupo kwenye hatua nzuri,
Iangalie IHEFU inavyopoga mpira mwingi.

Kitayosce nayeye alisajili magarasa na anakaribia kushuka daraja.
Na atapotea mazima.

Ila kuna mnyakyusa anaitwa keneth mwenye KENGOLD yule anamalengo tusubiri msimu ujao

Timu mpya zinapata uhai kwa mgongo wa manispaa
Mkuu huyo mtu ni mzoefu hizo timu zake hazina malengo na mpira wa bongo hana cha kujifunza!
 
Sema tu ninaungana na baadhi ya wadau wanaohisi kuna utakatishaji wa fedha unaofanywa na mmiliki wa hiyo timu.
Maana enzi hizo alipoondolewa tu kwenye nafasi ya Uwaziri, na timu yake ya wakati huo ilijifia kifo cha mende.

Siamini kama ni rahisi kiasi hicho kwa timu ya kawaida tu kama Ihefu/Singida Fountain Gate kusajili maproo wa kutosha tu kutoka nje, kwa kuwategemea wadhamini wa kuunga unga.

By the way, huu ni mtazamo wangu tu. Hivyo natoa tahadhari mapema kwa wale watoto wa miaka ya 2000.
Hauko mbali na ukweli hasa hapo kwenye money laundering.
 
Haya sasa msimu umeanza moto unawashwa

Kuna FOUNTAIN GATE
NA SINGIDA BLACK STARS

Mafanikio tushaanza kuyaona

Wachambuzi mpo?
 
Sema tu ninaungana na baadhi ya wadau wanaohisi kuna utakatishaji wa fedha unaofanywa na mmiliki wa hiyo timu.
Maana enzi hizo alipoondolewa tu kwenye nafasi ya Uwaziri, na timu yake ya wakati huo ilijifia kifo cha mende.

Siamini kama ni rahisi kiasi hicho kwa timu ya kawaida tu kama Ihefu/Singida Fountain Gate kusajili maproo wa kutosha tu kutoka nje, kwa kuwategemea wadhamini wa kuunga unga.

By the way, huu ni mtazamo wangu tu. Hivyo natoa tahadhari mapema kwa wale watoto wa miaka ya 2000.
ALisha soma Watanzania ni wajinga sana na pia wanapenda sana Burudani, imesahau enzi za Bendi mbali mbali za muziki? wati wa awamu ya kikwete na Mkapa? Vigogi walikuwa wana milik Bendi ili kutakatisha pesa.

Hawa jamaa walisha wasoma Watanzania wakagundua wanapenda starehe hivyo ndio sehemu salama ya kufanyia maovu na usishtukiwe.
 
Back
Top Bottom