Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi nimesema kwamba kama mnamshutumu Mwigulu Kwa sababu za udhaifu binafsi ya ujivuni,kiburi na jeuri sawa ila linapokuja swala la kile ambacho Dunia inakiamini ambacho ni namba basi Yuko sahihi na ame outperform.Wanajamvi wasalaam.
Napitia report ya AFDB, IMF na World Bank hakika ni report zilizoshiba sana.
Report hizi kwa pamoja zimeangazia masuala mtambuka, waataalamu mahiri wa uchumi wamechambua kinagaubaga.
[emoji117] Projection ya uchumi iko vizuri sana, uchumi unakuwa kwa kasi sana kuliko taifa lingine ukanda wa sub sahara.
[emoji117]Reserve ipo stable, hivyo hakuna tishio kwa wawekezaji.
[emoji117]Inflation iko undercontrol kuliko nchi zote za east africa.
[emoji117]Deni la serikali bado liko kwenye standard ya nchi zenye madeni madogo sana na linalipwa on time.
[emoji117] Sera za monetary and fiscal policies zinafuatwa kwa usahihi, niko controlled.
Hii sio bahati mbaya bali ni matokeo ya management nzuri inayofanywa na wizara ya fedha chini ya Dkt Mwigulu Nchemba.
Muda ni hakimu mwema.
Toa hoja kama huna shut upHivi Mwigulu naye ameajiri machawa? basi kazi ipo.
Dunia inaamini makaratasi,wapi ambako makaratasi hayatumiki?Kwenye makaratasi! does not reflect on daily Life!
Nani akuletee bread mezani kwako?They are the paperthings, we got leaders with less integrity, we needs breads on table not those empty statistics
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kama mambo gani hayo Yao Ili yafanikiwe? Pili wanaoweza kukupa ukweli wa kitakwimu ni kina nani? NitajieHao ulio wataja hawawezi kukupa sifa za ukweli watakudanganya ili upotee ili mambo yao yafanikiwe
We mwenyewe angalia wanao kuzunguka jamii yako je inajiweza kiuchumiKama mambo gani hayo Yao Ili yafanikiwe? Pili wanaoweza kukupa ukweli wa kitakwimu ni kina nani? Nitajie
Mkuu share softcopy kama unayo.haya masuala nilikuwa nayapa uzito unaostahili mpaka niliposoma kitabu cha the confessions of an economic hitman ndipo nilipoelewa ukweli nyuma ya hizi takwimu. Najua vitabu vipo vingi sana lakini kama hujakisoma hiko nakusisitiza kitafute kitakupa mwangaza mkubwa sana.
Kuna mtu amesema jamii yote inajiweza? Kinachoelezwa ni kwamba Hali ni nafuu na tunaelekea vizuriWe mwenyewe angalia wanao kuzunguka jamii yako je inajiweza kiuchumi
Watu wanalalamika gali ngumu sanaaKuna mtu amesema jamii yote inajiweza? Kinachoelezwa ni kwamba Hali ni nafuu na tunaelekea vizuri
Hicho kitabu kiufupi kinaelezea kwamba Serikali ikishirikiana na makampuni, mataasisi na mifumo mingine huandaa taarifa za uuongo yaani fallacy Kwa ustadi mkubwa na huwatumia watu wanaolipwa sana nk Ili kuelezea kwamba mambo mazuri na pia huzusha tarahuki na majanga nk Ili tuu kufanikisha malengo Yao.Mkuu share softcopy kama unayo.
Huyo Mwigu ni janga jingine kwa taifa kama ilivyokuwa kwa JiweKuna mtu amesema jamii yote inajiweza? Kinachoelezwa ni kwamba Hali ni nafuu na tunaelekea vizuri
sawa ngoja nikitume hapaMkuu share softcopy kama unayo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hukumbuki alipoenda Sirari alipokewa na bodaboda themanini
Obviously anajiona presidential material
Wanatuchosha hawa, watu tumevurugwa mara watuambie tuhamie Burundi, halaf anakuja kumpamba hapaBwashee una makasiriko sana [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama aliweza kuandika jina lake nchi nzima kwenye mawe na majabali atashindwa kuajiri wachumia tumbo wa kuimba mapambio mitandaoni.