Heshima kitu cha bure. Rais Samia ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe

Mbona hapo hajatukanwa, yaani muandishi alipaswa kutumia maneno makali zaidi ya hayo, maana kwa unyama alioufanya imetuonesha wazi kuwa tunaongozwa na shetani aliyeko kwenye umbo la binadamu.
 
kumuita psychopath na bitch, mtu wa umri wa mama yako wa kukuzaa, sio heshima ya Kitanzania!.
Ila pia mtu anayefurahia sana, mno kupita maelezo kifo cha binadamu mwenzake, tena kifo cha kupasuliwa kichwa na ubongo wake kuruka na kutapakaa hewani, mtu wa type hii ni sadist!.

P
 
*** you.

*** her.

A cold blooded murderer gets no respect from me.

Again, *** you and *** her. Or, if you like, you and her can go *** each other.

How about that, titty boy?
 
Wewe Samia ushachafuka na damu za watoto wa Kitanzania.

You are a disgrace. You are a murderer.

You are a stupid person and an idiot all in one bag of flesh.

I hate you.
Naendelea kusisitiza heshima, heshima, heshima, kumuita stupid na idiot ni lugha za matukano!, it's not right.

P
 
Huyu Samia sijui kama yuko sawa kwenye bichwa lake, Naamini mungu atakuadhibu muda si mrefu.
Mkuu Digiba, digba sowey ,
Heshima kitu cha bure, kuita bichwa lake kiongozi wako mkuu wa nchi, sio jina la heshima!

P
 
Mkuu ruaharuaha , hili sii jina la heshima kumuita kiongozi wako!.
P

Amechaguliwa na nani? Samia na
jambazi, muuaji aliyepora chaguzi, kuzuia wengine wasishiriki kuanzia ndani ya CCM, serikali za mitaani, madiwani 2024 na uchaguzi mkuu 2025.

Hujajibu swali Pascal, Mtu anayetaka kufira Wanganyika, kuwabaka, kuwapa kila aina ya mateso, maumivu, ulemavu, vitisho kuwauwa kwa risasi za ubongo kwa maelfu, kuwatupa raia katikati ya mapori yenye wanyama hatari, kuwaibia rasilimali zao kisa anataka kubaki madarakani na kuweka familia yake utampa jina gani?

Mtu ambaye anataka kuanzisha vita za kidini, kichama, kikabila anastaili jina gani?

Mtu ambaye amefungia vyombo vyote huru vya habari, mtu ambaye ukisema ukweli anakuona adui wake utampa jina gani stahiki?

Hitler alijiona ni kiongozi wa dunia, Amin alijiona ni kiongozi wa binadamu, wanyama hadi Samaki. Huwa unawapa heshima?

Samia anawaona Watanganyika wote ni watumwa wake.
 
Wanabodi,
heshima ni kitu cha bure, binadamu wote ni sawa na kila mtu anastahili heshima kwa ubinaadamu wake, asitweze utu wake!, Paskali
Wewe ni muuaji, ni Yezebeli unayenuka damu za watu wasio na hatia.
Hili sio jina la heshima kwa mtu wetu. Tutofautiane na tukosoe lakini heshima kwa utu wa mtu ibaki palepale!
Kumuita binadamu jina hilo, sio jina la heshima.
P
 
Hili sio jina la heshima kwa mtu wetu. Tutofautiane na tukosoe lakini heshima kwa utu wa mtu ibaki palepale!
Kumuita binadamu jina hilo, sio jina la heshima.
P
Muuaji na jitu dhlimú lazima lisemwe kwa udhalimu wake. Kati ya kinyesi na MamaSamia2025 Bora kinyesi kitarutubisha ardhi kuliko huyo tyrant President aliyeua watoto wetu
 
Muuaji na jitu dhlimú lazima lisemwe kwa udhalimu wake. Kati ya kinyesi na MamaSamia2025 Bora kinyesi kitarutubisha ardhi kuliko huyo tyrant President aliyeua watoto wetu
Duh...!, angekuwa ni mama yako wa kukuzaa, ungemuita hivi?.
P
 
Ulituambia ndani ya siku 100 utaanzisha mchakato wa katiba mpya.
Endeleeni kujitoa ufahamu soon kitawalamba na Wanamtandao wenzako.
Jisafishe uwezavyo lakini nikwambie unanuka ...
Japo una hoja ya msingi sana, huna sababu ya kutumia lugha chafu ya maudhi na maneno ya chooni!.
p.
 
Ili rais aheshimiwe inabidi na yeye ajiheshimu.
Karibuni marais wote wamewahi kutoa kauli tata lakini yeye anatoa kauli za mipasho unategemea nani amuheshimu.
Kauli kama kifo ni kifo ni baadi ya kauli ambazo hakupaswa kuzitoa.
Anavuna alichopanda.
 
Duh....!.
P
 
Hatakiwi kukosolewa Rais tuliyemchagua kwa kura za kishindo;Ila anatakiwa kushauriwa na wasaidizi wake.Na ikiwa anakataa ushauri,basi wanapasa kujiudhuru nafasi zao;kama alivyofanya RIP mzee Mtei ktk utawala wa mwalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…