Mr Lukwaro
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 359
- 629
Jinsi hali ilivyo mbaya hasa maeneo ya Kijijini na hata mijini pia, Serikali inajaribu kuweka mamba sawa
- Unajiuliza utawalipaje watumishi mishahara.
Uongeze ajira mpya mana wasio na Ajira ni wengi na hali ni mbaya
- Ufanye maendeleo katika uongozi wako
-Ujibu matusi unayotukanwa mitandaoni.
-Unawza kufanyia kazi maoni ya wananchi.
-Ushirikiano wa na nchi nyingine
- yani kila kona ya hii nchi inataka ufanye jambo litakalo wanufaisha.
Alafu kuna mtu ametenga bajeti ya mamilioni ya pesa ili kukuchafua nchi nzima, kwamba wew ni Nothing.
Hata pale unapofanya jambo Ili uyatimize majukumu yako vyema, bado watu wanakufata fata.
Haya Nyie mmewahi toa hata kibaba kimoja kwa masikini?
Hata kuzitembele kaya masikini mmewahi?
Hata charity hakuna.
Tangu mmeanza Siasa za upinzani mmewahi hata kujenga shule ya msingi? Hata darasa moja tuseme hili lilijengwa na Chama Flani basi, Hakuna.
Mnataka kuweka mafuta magari mzunguke nchi nzima majukwaani mkieneze Chuki na Matusi,.
Hebu kuweni na huruma na Ustaarabu 😂🙏🏾

- Mawiri wanaleta proposal zao kwako uboreshe.
- utekeleze sera na Ilani ya chama chako