Heshima kwa Rais Samia

Heshima kwa Rais Samia

Mr Lukwaro

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2023
Posts
359
Reaction score
629
Jinsi hali ilivyo mbaya hasa maeneo ya Kijijini na hata mijini pia, Serikali inajaribu kuweka mamba sawa

- Unajiuliza utawalipaje watumishi mishahara.

Uongeze ajira mpya mana wasio na Ajira ni wengi na hali ni mbaya
- Ufanye maendeleo katika uongozi wako
-Ujibu matusi unayotukanwa mitandaoni.
-Unawza kufanyia kazi maoni ya wananchi.
  • Mawiri wanaleta proposal zao kwako uboreshe.
  • utekeleze sera na Ilani ya chama chako
-unawaza usalama wa Nchi.
-Ushirikiano wa na nchi nyingine
- yani kila kona ya hii nchi inataka ufanye jambo litakalo wanufaisha.
Alafu kuna mtu ametenga bajeti ya mamilioni ya pesa ili kukuchafua nchi nzima, kwamba wew ni Nothing.

Hata pale unapofanya jambo Ili uyatimize majukumu yako vyema, bado watu wanakufata fata.

Haya Nyie mmewahi toa hata kibaba kimoja kwa masikini?

Hata kuzitembele kaya masikini mmewahi?
Hata charity hakuna.

Tangu mmeanza Siasa za upinzani mmewahi hata kujenga shule ya msingi? Hata darasa moja tuseme hili lilijengwa na Chama Flani basi, Hakuna.

Mnataka kuweka mafuta magari mzunguke nchi nzima majukwaani mkieneze Chuki na Matusi,.
Hebu kuweni na huruma na Ustaarabu 😂🙏🏾
 
Attachments

  • IMG_20230901_130251.jpg
    IMG_20230901_130251.jpg
    64.7 KB · Views: 2
Mimi tangu auze bandari na misitu yetu kwakweli heshima yangu imepungua, sitakuja kumpigia kura 2025. bora nipigie kura hata jiwe wakimshindanisha nalo. hata akitokea Bambo amegombea chama kingine nitampigia bambo au hata joti kuliko huyu mama.
 
Soma Uo uzi , ili uone kabisa kama bandari imeuzwa au haijauzwa
mimi tangu auze bandari na misitu yetu kwakweli heshima yangu imepungua, sitakuja kumpigia kura 2025. bora nipigie kura hata jiwe wakimshindanisha nalo. hata akitokea Bambo amegombea chama kingine nitampigia bambo au hata joti kuliko huyu mama.
 
Ndugu urais sio mgumu hata kidogo kwenye hizi nchi za kiafrika! Stop overrating things
 
Si dhani kama hata unafamilia ndugu yangu.

Kwa wale wenye familia mnisaidie mana nyie ni viongozi pia.
Kuongoza familia ni Rahis sana e ?
 
Soma Uo uzi , ili uone kabisa kama bandari imeuzwa au haijauzwa
mimi ni mwanasheria, umeingizwa king na hujui kama umeingizwa king.
 
Chawa wamechachamaa sana, kila mara wanaleta nyuzi za kichawa. Huu ujumbe ni wa kichawa unaonekana wazi
 
Si dhani kama hata unafamilia ndugu yangu.

Kwa wale wenye familia mnisaidie mana nyie ni viongozi pia.
Kuongoza familia ni Rahis sana e ?
Tulia ww hujui chochote RAIS ni taasisi wapo wasaidiz kwenye kila jukumu maelfu na maelfu
 
Chawa wamechachamaa sana, kila mara wanaleta nyuzi za kichawa. Huu ujumbe ni wa kichawa unaonekana wazi
Husoma ,then sema Nyuzi haina ukweli au ni ukweli mtupu.

Unang'ang'ania ni uchawa, niliyoya andika hamuhusu Rais kwani?
 
Tulia ww hujui chochote RAIS ni taasisi wapo wasaidiz kwenye kila jukumu maelfu na maelfu
Hata mke ni msaidizi pia , Ila yeye anasubiri mwongozo kutoka kwako. Na anakutegemea wew.

Hao ma elfu wanataka mishahara na uwapangie majukumu, Yao Maelfu
 
Jinsi hali ilivyo mbaya hasa maeneo ya Kijijini na hata mijini pia, Serikali inajaribu kuweka mamba sawa,
-unajiuliza utawalipaje watumishi mishahara.

Uongeze ajira mpya mana wasio na Ajira ni wengi na hali ni mbaya
- Ufanye maendeleo katika uongozi wako
-Ujibu matusi unayotukanwa mitandaoni.
-Unawza kufanyia kazi maoni ya wananchi.
  • Mawiri wanaleta proposal zao kwako uboreshe.
  • utekeleze sera na Ilani ya chama chako
-unawaza usalama wa Nchi.
-Ushirikiano wa na nchi nyingine
- yani kila kona ya hii nchi inataka ufanye jambo litakalo wanufaisha.
Alafu kuna mtu ametenga bajeti ya mamilioni ya pesa ili kukuchafua nchi nzima, kwamba wew ni Nothing.

Hata pale unapofanya jambo Ili uyatimize majukumu yako vyema, bado watu wanakufata fata.

Haya Nyie mmewahi toa hata kibaba kimoja kwa masikini?
Hata kuzitembele kaya masikini mmewahi?
Hata charity hakuna.

Tangu mmeanza Siasa za upinzani mmewahi hata kujenga shule ya msingi? Hata darasa moja tuseme hili lilijengwa na Chama Flani basi, Hakuna.

Mnataka kuweka mafuta magari mzunguke nchi nzima majukwaani mkieneze Chuki na Matusi,.
Hebu kuweni na huruma na Ustaarabu [emoji23][emoji1488]
Urais ni taasisi. Yeye ni kiongozi mkuu na msimamizi wa taasisi. Ndio maana kuna watendaji lukuki walio chini yake wanaomsaidia kutimiza hayo yote uliyoyasema. Sasa kama anajifanya one man show, au hafuatilii watendaji wake kwa usahihi, ndio tatizo linapokuja. Kwa hiyo acha kumsifia, yeye ni msimamizi wa shughuli zote za nchi na sio lazima afanye kila kitu peke yake.
 
Soma Uo uzi , ili uone kabisa kama bandari imeuzwa au haijauzwa
Bwashee bandari imeuzwa, tena imeuzwa bureeeeee
 
Urais ni taasisi. Yeye ni kiongozi mkuu na msimamizi wa taasisi. Ndio maana kuna watendaji lukuki walio chini yake wanaomsaidia kutimiza hayo yote uliyoyasema. Sasa kama anajifanya one man show, au hafuatilii watendaji wake kwa usahihi, ndio tatizo linapokuja. Kwa hiyo acha kumsifia, yeye ni msimamizi wa shughuli zote za nchi na sio lazima afanye kila kitu peke yake.
Hasimamii Watu 15 , Ni watu Million 60 na
 
Hata mke ni msaidizi pia , Ila yeye anasubiri mwongozo kutoka kwako. Na anakutegemea wew.

Hao ma elfu wanataka mishahara na uwapangie majukumu, Yao Maelfu
-unajiuliza utawalipaje watumishi mishahara.(Pumba) sio jukumu lake
-Ujibu matusi unayotukanwa mitandaoni.(Pumba) sio jukumu lake
  • Mawiri wanaleta proposal zao kwako uboreshe.(Pumba) sio jukumu lake
  • utekeleze sera na Ilani ya chama chako(Swala la serikal nzima)
-unawaza usalama wa Nchi.(Kwa tishio gani?)
-Ushirikiano wa na nchi nyingine(Sio jambo la kuwaza)
 
Kwa maana hiyo basi tusiwe tunamlaumu Rais kwa lolote. Mana kw maana yako hana Jukumu sasa.

Rais ni Pazia , na watumishi wawe wanafanya kazi kama wanavojisikia ,sio
 
Back
Top Bottom