Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
-
- #21
Mzigo ukiingia tu unakuta vijamaa pale mlimani vimeshikna viun na wadada wanaenda movie mliman City, mara samaki samaki, mara Gesti na kupigana "exile" kwa mikopo , sasa wakati wa kulipa ndio watu wanalia lia hapa."Awamu hii sio ya kula raha saaana".
mtu hajapata ajira how come anawekewa riba 10% kwa mwaka??hata hivyo wamechelewa sana mimi mwenyewe ni mdaiwa tuwaunge mkono kwenye hili jamani, kweli huko vyuoni watu wanateseka sana, ifikie hatua kila anaeyeomba mkopo apate, turejeshe tulichokopeshwa!
Passport ukienda kuomba kusafiri kibiashara , na fedha hujaanza kulipa, na passport imegongwa mihuri kibao lazma watakuzuia mpaka uanze kulipa deni
Mimi kama mimi elimu ya msingi inatosha kabisa tena ile English medium mtoto ajue kuongea kiingereza na kukuandika vema. Kisha unampeleka ujuzi. Haya mashule mpeleke ukiwa na mchongo tiari wa ajira.
Tulieni ndio kwanza tunaanza, ndio kwanza tumeanza 🤣🤣🤣🤣Abdul Razaq Mkurugenzi wa Bodi amefafanua kwamba mnufaika ataanza kulipa baada ya miezi 24 [miaka 2 ] kama hana ajira.
Baada ya hapo Deni linakuwa kwa 10% kila mwaka.
Watu ambao hawajaajiriwa kwenye sekta rasmi wanapaswa kurejesha 100,000/= au ASILIMIA KUMI 10% ya pato analolipia kodi kwa mwezi.
Kwa sasa BODI ina wanufaika 14,021 wanaorejesha mikopo yao.
Baada ya marekebisho ya Bodi ya mwaka 2016 , ni wazi sasa Bodi itaunganisha mishahara, TIN, Passport na kadi za benki ili wanufaika wote wapate kurejesha kwa wakati.
TLS na JUDICIARY wameshauriwa kuwabana mawakili binafsi ambao wengi ni wanufaika na hawalipi kabiusa. Mawakili wakati wa ku-renew PRACTICING CERTIFICATES watapaswa kuambatanisha udhibitisho kwamba wameanza kulipa deni.
Law firms nyingi Dar es salaam zina hela sana lakini hawalipi.
kwa hyo ina maana ndani ya miaka 10 deni linakua mara 2?mtu hajapata ajira how come anaawekewa riba 10% kwa mwaka??
Yaani hapa bora kusomesha mwana tu.Kama una uwezo hakuna kumpa mtoto deni la kijinga.
Ndio suala la msingi kwa sasa.Yaani hapa bora kusomesha mwana tu.Kama una uwezo hakuna kumpa mtoto deni la kijinga.
Hiyo mikopo ingefanywa Kama hisani au zawadi KWA wote walio fika CHUO KIKUUhata hivyo wamechelewa sana mimi mwenyewe ni mdaiwa tuwaunge mkono kwenye hili jamani, kweli huko vyuoni watu wanateseka sana, ifikie hatua kila anaeyeomba mkopo apate, turejeshe tulichokopeshwa!
Hatutapeleka pesa benk.Abdul Razaq Mkurugenzi wa Bodi amefafanua kwamba mnufaika ataanza kulipa baada ya miezi 24 [miaka 2 ] kama hana ajira.