Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makato ya asilimia 15 yalikuwa kwenye mkataba upi??Haya yote yakikuwapo kwenye mkataba, kama mtu unaona masharti yanakushinda unaachana nao sio unakuja kulialia saivi hapa.
Kweli nimeamini Mungu ana sababu katika kila jambo. Sikuwahi kupata mkopo na wala sikuwahi kuwa na nyege nao kabisa japo wanangu waliomba omba wakanyimwa wengine. Asante Mungu maana kwa hali niliyonayo sasa ni gefedheeka.Passport ukienda kuomba kusafiri kibiashara , na fedha hujaanza kulipa, na passport imegongwa mihuri kibao lazma watakuzuia mpaka uanze kulipa deni
Babu kama unadaiwa jiandae kuishi kama shetani humu nchini.😝Tutakimbizana nao. Mpaka waanza kutu sachi mifukoni na majumbani.
Haiwezekani ulipe deni halafu mwisho wa mwaka ile retention fee 6% inaliongeza zaidi ya ilivyokuwa.
Maana yake serikali imefanya makusudi kuwafanya wananchi wake wawe vitega uchumi vya kudumu kuwa kuwapiga na deni ambalo kila ukilipa haliishi na linaongezeka.
Meko ni mpumbavu na no shetani.
Kitendo cha kulazimisha kila mtu awe register kwenye sim card na tin number yaani ni mambo ya kimkakati.
Na sasa hivi hata mabasi huweZi kukata tiketi lazima ziwe za elevtronics na heslib wana mpango wa kuunganisha tin namba za wafanyakazi, bank,NIN.
So hakuna kochomoka hapo. No escape lazima wote kulipa.
Kikubwa ni bunge litakavyompitosha jamaa awe wa maisha kwa sababu na wao wana uhakika watakuwa wa maisha
Tutavaa guniamtusamehe jamani, duuh mpaka hiyo 5 iishe tutakuwa tunavaa mashuka badala ya sketi
Mwenyewe pia nikipiga hesabu zinangukia humo humo.Nasema ivi Bora kusomesha kwa cash maana kwa miaka mitatu mwanafunz anaweza kutoboa kwa 10m zikiwemo gharama zote kuliko hao jamaa.
Watu wanafurahia mikopo wawapo chuo na kujiona wao ndio wao yaan dunia Ni yao .
Kipind nasoma nilikosa loan washkaj wakawa wanajiona wao ndio kila kitu baada ya kupata loan ,namshukuru Sana kaka angu alisimama na mimi na kuhakikisha nasoma bila kikwazo had namaliza chuo kwa pesa niliotumia haizid 9m.
Kiama kipo baada ya kupata ajira ,wale wa boom saiz wanasaga meno ,mm nachukua kamshahara kangu jinsi kalivyo Zaid nakatwa paye ,bima na chama Cha kazi nilichojiunga nacho.
Tatizo Ni umaskin tu ,Ni heri mtoto ukamlipia ada maana kwa mwaka kwa vyuo vingi Ni 1.2au 1.3 zidisha mara tatu hapo ,alaf kinachokula matumiz mengi chuo Ni kod ya pango ,na stationary ,chakula sio shida atajibana na kupika vzr tu .
Hivyo nasema 9m unasomesha kijana wako vzr tu kuliko kumbebesha deni la mamilion ya pesa ambayo atalipa had ana staff
Wana mpango wa kuunganisha na account za Benki na Simu! Wakitoka NIDA watahamia MPESAHivi mfano mtu haujaajiriwa na na ukaishia kubet tu kama wengine, mwisho wa hilo deni utakuwaje? Nitakamatwa?
Nadaiwa 90mil kila mwaka linaongezeka 6% retention feeBabu kama unadaiwa jiandae kuishi kama shetani humu nchini.😝
Hata South Africa tu hutakanyaga mpaka ulipe madeni ya serikali.
Hujaajiriwa ndio ila una biashara yenye tin, baada ya kodi kulipa unalipa na deni kwa asilimia kadhaa. Salama yako ni kuwa mmachinga tu 😂
Labda uwe unauza mishkaki ya pumbu mezani ila ukikodi fremu imeisha hio 😂😂😂!!!Naona wamekaribia kunidaka. Na watakaponipata na kuanza kunikata mkwanja mrefu kama sehemu ya marejesho ya mkopo wao NITAACHA KAZI MARA MOJA.
Nasisitiza:BORA NIACHE KAZI YA KUAJIRIWA.Na nitakapoingia uraiani nimeshabuni njia nitakazotumia kuwakwepa hata wasinibaini huko.
Ukibeti spotipesa wakikurushia tu mpunga. Heslib wanakata chao kwanzaWana mpango wa kuunganisha na account za Benki na Simu! Wakitoka NIDA watahamia MPESA
Hahahah ndio mzigo unasoma hivyo sahizi? 😂😂😂Nadaiwa 90mil kila mwaka linaongezeka 6% retention fee
Mbona tupo wengi sana tuliosoma cuba.Hahahah ndio mzigo unasoma hivyo sahizi? 😂😂😂
Hela za bodi ulinunulia jinzi karume eeh 😂😂😂
Hahaha yani fasta, nahisi wataunganisha na system za Mpesa. na watakuwa wanawalima kweli kweli 😂!Ukibeti spotipesa wakikurushia tu mpunga. Heslib wanakata chao kwanza
Hii ndio awamu pekee wabongo watajifunza kulipa madeni 😂bodi ya mikopo tunawapenda
Hakika ndugu ,mambo mangine Ni kujiendekeza tu ,chuo kikuu unasoma fresh tu bila hiyo loan yao .Mwenyewe pia nikipiga hesabu zinangukia humo humo.
Mwaka:
Ada 1,300,000
Bima 100,000
Hostel 500,000
Stationery 80,000
Diko 800,000
Grand Total 2,780,000
Utaona kuwa kwa miaka mitatu degree nimeipata for about TZS 8,340,000/= !
Hizi gharama ni sababu chuo kilikuwa mkoani ila mtu wa DSM atatumia hela zaidi maana gharama za kula huku ziko juu plus pango.
Bodi bora wakate 60%.Hahaha yani fasta, nahisi wataunganisha na system za Mpesa. na watakuwa wanawalima kweli kweli 😂!
Tax 18%
Bodi 30%
Kummmk ukila milioni unaondoka na 520K tu 😂😂😂
Mkurugenzi anaongea kirahisi sababu ana uhakika wa million 5 na marupurupu kibao kila mwezi.Mkurugenzi anasema mkopaji ataanza kulipa deni baada ya miaka miwili, huku mtaani vijana wanasema hawana ajira mwaka wa tano huu sasa ukimuambia atoe laki moja kila mwezi ataipata wapi??
Mawakili nao kuna notion kuwa wanahela nyingi jambo ambalo sio kweli hivyo kuwawekea vikwazo vya kila namna ni kuwadumaza tu kimaendeleo.
Mtu unapoona jambo linatokea na si haki unapaswa kulisemea.
Noma sana, wanaweza wakachukua vocha ya kujiunga kifurushi.Hahaha yani fasta, nahisi wataunganisha na system za Mpesa. na watakuwa wanawalima kweli kweli 😂!
Tax 18%
Bodi 30%
Kummmk ukila milioni unaondoka na 520K tu 😂😂😂
Mzee nyie si watachukua mpaka pensheniMbona tupo wengi sana tuliosoma cuba.
Mzigo upo heavy sana. Wapo watu zaidi ya 500 huko ma dr . eng. mafamasia.
Meko alaaniwe