HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

Passport ukienda kuomba kusafiri kibiashara , na fedha hujaanza kulipa, na passport imegongwa mihuri kibao lazma watakuzuia mpaka uanze kulipa deni
Kweli nimeamini Mungu ana sababu katika kila jambo. Sikuwahi kupata mkopo na wala sikuwahi kuwa na nyege nao kabisa japo wanangu waliomba omba wakanyimwa wengine. Asante Mungu maana kwa hali niliyonayo sasa ni gefedheeka.
 
Nasema ivi Bora kusomesha kwa cash maana kwa miaka mitatu mwanafunz anaweza kutoboa kwa 10m zikiwemo gharama zote kuliko hao jamaa.

Watu wanafurahia mikopo wawapo chuo na kujiona wao ndio wao yaan dunia Ni yao .

Kipind nasoma nilikosa loan washkaj wakawa wanajiona wao ndio kila kitu baada ya kupata loan ,namshukuru Sana kaka angu alisimama na mimi na kuhakikisha nasoma bila kikwazo had namaliza chuo kwa pesa niliotumia haizid 9m.

Kiama kipo baada ya kupata ajira ,wale wa boom saiz wanasaga meno ,mm nachukua kamshahara kangu jinsi kalivyo Zaid nakatwa paye ,bima na chama Cha kazi nilichojiunga nacho.

Tatizo Ni umaskin tu ,Ni heri mtoto ukamlipia ada maana kwa mwaka kwa vyuo vingi Ni 1.2au 1.3 zidisha mara tatu hapo ,alaf kinachokula matumiz mengi chuo Ni kod ya pango ,na stationary ,chakula sio shida atajibana na kupika vzr tu .
Hivyo nasema 9m unasomesha kijana wako vzr tu kuliko kumbebesha deni la mamilion ya pesa ambayo atalipa had ana staff
 
Tutakimbizana nao. Mpaka waanza kutu sachi mifukoni na majumbani.

Haiwezekani ulipe deni halafu mwisho wa mwaka ile retention fee 6% inaliongeza zaidi ya ilivyokuwa.
Maana yake serikali imefanya makusudi kuwafanya wananchi wake wawe vitega uchumi vya kudumu kuwa kuwapiga na deni ambalo kila ukilipa haliishi na linaongezeka.

Meko ni mpumbavu na no shetani.
Kitendo cha kulazimisha kila mtu awe register kwenye sim card na tin number yaani ni mambo ya kimkakati.

Na sasa hivi hata mabasi huweZi kukata tiketi lazima ziwe za elevtronics na heslib wana mpango wa kuunganisha tin namba za wafanyakazi, bank,NIN.

So hakuna kochomoka hapo. No escape lazima wote kulipa.

Kikubwa ni bunge litakavyompitosha jamaa awe wa maisha kwa sababu na wao wana uhakika watakuwa wa maisha
Babu kama unadaiwa jiandae kuishi kama shetani humu nchini.😝
Hata South Africa tu hutakanyaga mpaka ulipe madeni ya serikali.

Hujaajiriwa ndio ila una biashara yenye tin, baada ya kodi kulipa unalipa na deni kwa asilimia kadhaa. Salama yako ni kuwa mmachinga tu 😂
 
Nasema ivi Bora kusomesha kwa cash maana kwa miaka mitatu mwanafunz anaweza kutoboa kwa 10m zikiwemo gharama zote kuliko hao jamaa.

Watu wanafurahia mikopo wawapo chuo na kujiona wao ndio wao yaan dunia Ni yao .

Kipind nasoma nilikosa loan washkaj wakawa wanajiona wao ndio kila kitu baada ya kupata loan ,namshukuru Sana kaka angu alisimama na mimi na kuhakikisha nasoma bila kikwazo had namaliza chuo kwa pesa niliotumia haizid 9m.

Kiama kipo baada ya kupata ajira ,wale wa boom saiz wanasaga meno ,mm nachukua kamshahara kangu jinsi kalivyo Zaid nakatwa paye ,bima na chama Cha kazi nilichojiunga nacho.

Tatizo Ni umaskin tu ,Ni heri mtoto ukamlipia ada maana kwa mwaka kwa vyuo vingi Ni 1.2au 1.3 zidisha mara tatu hapo ,alaf kinachokula matumiz mengi chuo Ni kod ya pango ,na stationary ,chakula sio shida atajibana na kupika vzr tu .
Hivyo nasema 9m unasomesha kijana wako vzr tu kuliko kumbebesha deni la mamilion ya pesa ambayo atalipa had ana staff
Mwenyewe pia nikipiga hesabu zinangukia humo humo.

Mwaka:
Ada 1,300,000
Bima 100,000
Hostel 500,000
Stationery 80,000
Diko 800,000
Grand Total 2,780,000

Utaona kuwa kwa miaka mitatu degree nimeipata for about TZS 8,340,000/= !

Hizi gharama ni sababu chuo kilikuwa mkoani ila mtu wa DSM atatumia hela zaidi maana gharama za kula huku ziko juu plus pango.
 
Babu kama unadaiwa jiandae kuishi kama shetani humu nchini.😝
Hata South Africa tu hutakanyaga mpaka ulipe madeni ya serikali.

Hujaajiriwa ndio ila una biashara yenye tin, baada ya kodi kulipa unalipa na deni kwa asilimia kadhaa. Salama yako ni kuwa mmachinga tu 😂
Nadaiwa 90mil kila mwaka linaongezeka 6% retention fee
 
Naona wamekaribia kunidaka. Na watakaponipata na kuanza kunikata mkwanja mrefu kama sehemu ya marejesho ya mkopo wao NITAACHA KAZI MARA MOJA.

Nasisitiza:BORA NIACHE KAZI YA KUAJIRIWA.Na nitakapoingia uraiani nimeshabuni njia nitakazotumia kuwakwepa hata wasinibaini huko.
Labda uwe unauza mishkaki ya pumbu mezani ila ukikodi fremu imeisha hio 😂😂😂!!!
 
Hahahah ndio mzigo unasoma hivyo sahizi? 😂😂😂
Hela za bodi ulinunulia jinzi karume eeh 😂😂😂
Mbona tupo wengi sana tuliosoma cuba.
Mzigo upo heavy sana. Wapo watu zaidi ya 500 huko ma dr . eng. mafamasia.
Meko alaaniwe
 
Mwenyewe pia nikipiga hesabu zinangukia humo humo.

Mwaka:
Ada 1,300,000
Bima 100,000
Hostel 500,000
Stationery 80,000
Diko 800,000
Grand Total 2,780,000

Utaona kuwa kwa miaka mitatu degree nimeipata for about TZS 8,340,000/= !

Hizi gharama ni sababu chuo kilikuwa mkoani ila mtu wa DSM atatumia hela zaidi maana gharama za kula huku ziko juu plus pango.
Hakika ndugu ,mambo mangine Ni kujiendekeza tu ,chuo kikuu unasoma fresh tu bila hiyo loan yao .
Kuna mwamba baba ake alimwambia hakuna kuappy loan mm ntakusomesha mwanzo mwisho.jamaa akamzunguka baba ake aka apply loan ,so akawa anapiga pesa za mshua huku loan wanamlipia Ada na kupata boom Kama kawaida.

Mzee wa watu yeye anatoa tu pesa kwa mwanae na hakuwa na haja ya kumfuatilia Sana ,so kila kitu alikuwa amemwachia jamaa ,mzee Ni kusikiliza tu inahitajika ngapi anatoa tu. Nakumbuka tulikula Sana bata club Ambassador pale posta na kwa dj Mbowe club billcanas coz jamaa alikuwa anasoma Ifm mm jalalani huko mlimani, Basi navutiwa tu waya njoo tuburudike mwamba.

Mungu si juma bwana saiz yupo serikalin lakin had leo anajuta kwann alifanya ule ujinga maana salary slip yake inasoma den la haja na sidhan km atalimaliza Leo na baba ake hajui kitu so ibak Siri yake yeye na mm tu.

Ila maumiv alio nayo Ni hatar ,na baba ake saiz ashajitoa kumsapot coz tayal nae ana Kaz yake
 
Hahaha yani fasta, nahisi wataunganisha na system za Mpesa. na watakuwa wanawalima kweli kweli 😂!
Tax 18%
Bodi 30%

Kummmk ukila milioni unaondoka na 520K tu 😂😂😂
Bodi bora wakate 60%.
Tujue moja tu kuwa tupo jehanamu.

Yaani ukiona waethiopia na waafrika wanakimbia nchi zao ndio ujinga kama huu hata mimi nitakimbia nitatudi botswana.
Maana huwezi kuniwekea deni lisilolipika. Unalipa laki 300k x 12 =3.6mil kwa mwaka.
Ila ukienda kucheki balance mwisho wa mwaka unakuta imeongezeka 4m.

Kwa hio sitalipA tena.
Tutakimbizana nikiona kina wamenibana kila sehemu naondoka nchini.

Chato oyeeee.
Yaani ubaya ubaya tu. Hatuwezi kutiana vidole wazi wazi.
 
Mkurugenzi anasema mkopaji ataanza kulipa deni baada ya miaka miwili, huku mtaani vijana wanasema hawana ajira mwaka wa tano huu sasa ukimuambia atoe laki moja kila mwezi ataipata wapi??

Mawakili nao kuna notion kuwa wanahela nyingi jambo ambalo sio kweli hivyo kuwawekea vikwazo vya kila namna ni kuwadumaza tu kimaendeleo.

Mtu unapoona jambo linatokea na si haki unapaswa kulisemea.
Mkurugenzi anaongea kirahisi sababu ana uhakika wa million 5 na marupurupu kibao kila mwezi.
 
Hahaha yani fasta, nahisi wataunganisha na system za Mpesa. na watakuwa wanawalima kweli kweli 😂!
Tax 18%
Bodi 30%

Kummmk ukila milioni unaondoka na 520K tu 😂😂😂
Noma sana, wanaweza wakachukua vocha ya kujiunga kifurushi.
Kwa pesa wanayonidai saizi nikipiga deiwaka sitaki habari za kutumiana M-Pesa wala Tigo Pesa.
 
Back
Top Bottom