Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,727
Kama ilivyo kwenye sheria za bofi ya mikopo, kia mnufaika atapewa kiasi kinachoendana na siku alizokaa chuoni.
Hapo awali kabla ya Corona, boom moja ilikuwa 505000 hadi 52000 lakini kwa mfumo huu itakuwa pungufu.
Je, kama boom limepunguzwa, vipi kuhusu ada na direct cost? Vilipunguzwa kulingana na siku za masomo?
View attachment 1512144
Acheni kunyanyasa wanafunzi!! Kwenye mkataba kuna mahali popote mlisema siku zikipungua, mtapunguza pesa pia?Boom mwanafunzi analipwa kwa idadi ya siku alizosoma darasani.. Utumie siku 10 kwa non ulipwe 20?? Ada hutumika pia kuendeshea shughuli zingine za chuo kulipa wafanyakazi, bill za umeme, maji, n.k
Wew unawezaje kumkata mtu pasipo kumpa taarifa? Au ndio kusema Corona haokuletwa na serikali?Sasa wewe unataka kulipwa hata kuzidi siku ulizo soma? Ujaelewea nini hapo? Unataka upewe hela hata siku ambazo ulikuwa nyumbani? Acha ujinga fanya hesabu hizo
Poleni wadogo zangu,zinapelekwa kwenye uchaguziHii serikali inatuchukulia sisi house girlsView attachment 1512188
Naunga mkono hoja.chagueni CCM tena
Mbona walimu walilipwa kawaida ? Au Corona ni tofautiInaweza kuwa imepunguzwa kweli
Kwani si huwa inatolewa kulingana na idadi ya siku wawapo chuoni.
Kutokana na Covid-19, siku zimepungua.
Robo ya tatu walitoa jumla billioni 63.7,
Robo ya mwisho wametoa 44.5 billioni.
Mbona walimu walilipwa wakiwa nyumbani?Sasa wewe unataka kulipwa hata kuzidi siku ulizo soma? Ujaelewea nini hapo? Unataka upewe hela hata siku ambazo ulikuwa nyumbani? Acha ujinga fanya hesabu hizo
Wivu tyu[emoji2957]Safi sana kuna wanachuo wapumbavu sana CCM imefanya makubwa haya uchumi wa kati huo
Mkuu Kuna sehemu gani kwenye mkataba pameandikwa kuwa pesa ya chakula italipwa kwa semester? Nayo imekuwa Ada?Kama ndivyo Hili suala sio la kukulupua watu, walipaswa wawaeleze mapema kuwa kutakuwa punguzo ya pesa hivyo watu wajiandae. Suala la kutoa taarifa wkati wakuwapa hizo pesa hajatenea sawa Kuna wanaotegemea kulipia ada, mbona kumekuwa na usiri?? Hii sio sawa pesa za chakula hulipwa kwa semester
Hakuna iyo course UDOMAfadhali mm nasoma certificate in hotel management at udom
Umenena vyema mkuu Yani watu nashangaa wanakaza mafuvu kwa hesabu ndogo kabisa ya kutoa siku ambayo hata mtoto wa dalasa la nneD anaweza kuelewa.Wamefanya vizuri pia unalipwa kulingana na siku unazo kaa chuoni, unataka ulipwe pesa zaidi hujui kuna miradi inataka pesa
Kwani hizo hela utalipa weweSasa wewe unataka kulipwa hata kuzidi siku ulizo soma? Ujaelewea nini hapo? Unataka upewe hela hata siku ambazo ulikuwa nyumbani? Acha ujinga fanya hesabu hizo
Sio wivu ata ukiwa unafanya kazi huwezi lipwa zaidi ya ambacho umefanyia kazi,Wivu tyu[emoji2957]